16/06/2025
"Walimtesa kwa masaa kadhaa kabla ya kumwacha amepoteza fahamu na kisha wakatoka nje ya kituo."
Katika kikao cha faragha na wabunge, IPOA ilifichua njama ya kutisha kuhusu kifo cha Albert Ojwang, iliyopangwa tangu alipoondoka Homa Bay, kunyongwa Nairobi.
Maafisa walitayarisha seli, wakakaa hata baada ya muda wao wa zamu kuisha na hata kujaribu kuficha ukweli.