14/06/2026
Hii picha ilipigwa mwaka 2021 Mbagala zakhem nikaitunza sikujua kwanini kumbe ni kwaajiri ya siku k**a ya leo kumpa pongezi Tanzania sweetheart wetu Twiga na shem lake kwa kutuletea Kababy boy ka Taifa Mashallah hongereani sana Wapendwa Hongera sana Kwa yote uliyopitia kwa sisi walimwengu Lakini Mwenyezi Mungu kaamua kuwakumbusha Binadam kua wasijisahau sana Yeye ndo mmiliki wa kila kitu Na yeye ndo anayepanga nini kitokee kwa wakati gani Hongereni sana Tunao Tamani Tulete zawadi ni wengi ila ndo hivyo haiwezekani hii iko wazi sie Tumefurahi sana🥰🥰🙏