27/08/2025
Kwanini ufanye kazi na sisi ?
Karibu -plumber sisi ni wataalam tulio bobea juu ya ungungaji wa mifumo ya maji ya kisasa majumbani na viwandani iwe apartments, majengo makubwa ,hata nyumba ndogo.Tunausika kuanzia atua ya awali mpaka finishing.
Tunausika kwa atua ya Kwanzaa
》kuchimbia bomba kwa mashine za kisasa bila nyundo wala tindo
》mpaka finishing kwa weledi mkubwa naubunifu wa Khali ya juu
Kwanini utuchague sisi ?
1.Ghalama nafuuu
2.ubora wa kazi
3.tunatumia vifaa vya kisasa na original
4.Kazi yako itafanyika kwa wakati
Tupigie sasa:0713185798/0742922828