Mafundi ujenzi huru Tz

Mafundi ujenzi huru Tz Asante mteja wetu unaejipanga kutupakazi tunakwenda popote tafadhali tutafute kwa 0685154278

Tupendane haya maisha tuu hakuna bingwa Wa shida
09/07/2020

Tupendane haya maisha tuu hakuna bingwa Wa shida

09/07/2020
Kitabu cha lamani
05/07/2020

Kitabu cha lamani

Mafundi wote mikono juuu jivunie kuafundi ila kumbuka usijenge Nyumba zawenzako ukasahau kua siku hazigandi
03/07/2020

Mafundi wote mikono juuu jivunie kuafundi ila kumbuka usijenge Nyumba zawenzako ukasahau kua siku hazigandi

01/07/2020

Tunatoa ushauli kwawateja wetu ambao nyumbazao zinaliwa na chumvi au fangasi

29/06/2020

Tunawakalibisha pia mafundi Wa umeme maji na selemara ilituunganishe nguvu kiutendaji pia tuweze kuunda vikundi kwamajimbo ili tuweze pia kuomba mikopo nafuu na tuweze kuanzisha viwanda vidogo vinavyotengeneza bidhaa zinazo husiana na ujenzi pia wadau wengine tunawakaribisha kuwekeza kwetu kadri wawezavyo ili TANZANIA yaviwanda iweze kufanikiwa zaidi na zaidi tutafute sasa 0764736488

29/06/2020

Wapendao kuokoa mda mtakubaliana namimi kua kujenga halaka na kwawakati kunakusaidia kujipanga nakufanya kazi zako nyingine mafundi wenu tupo mdawote tutafute kwa 0764736488

29/06/2020

Tunajiaandaa kuunda umoja Wa mafundi Tabora Mara na singida hivyo ukiwa ni mdau unakalibishwa sana bado tunakusanya maoni

17/06/2020

Upimaji ujenzi upauwaji upigaji wa siling bord ghipisum upakaji upigaji wavigae walangi ainazote upandaji maua utunzaji Wa mazingila tutafute kwa 0685154278

Address

Ujenzi Upandaji Miti Na Maua Na Ujasiliamali Wa Mazao Aina Zote
Dar Es Salaam

Telephone

+255685154270

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mafundi ujenzi huru Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share