17/05/2024
NAFASI ZA KAZI
Kampuni ya usafi ya Aklam ventures Cleaning Contractors inatangaza nafasi za kazi k**a ifuatavyo:
1. Cleaning attendant 15 post
2. Supervisor 3 post
3. Environmental Officer 2 post
VIGEZO
-Post namba 1 na 2 awe amemaliza kidato cha nne na awe na cheti cha Usafi na Mazingira VETA na vyuo vinavyo tambulika na VETA.
-Awe na uzoefu wa kufanya kazi za usafi usio pungua mwaka mmoja.
Post namba 3 awe amemaliza form four na Cheti cha mazingira kinachotambulika na serikali.
-Awe ana uzoefu usiopungua mwaka mmoja katka kazi zinazohusu uhifadhi wa mazingira.,
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Andaa CV yako isiyozidi kurasa mbili pamoja na vyeti vyako tuma kwenye email: [email protected] ukiandika maombi yake kwa: Mkuu wa kitengo, Rasilimali watu, P.O Box 35028 Dar es salaam kwa kutaja nafasi unayoomba.
MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 24 MEI 2024.