Astony Electrical Decoration

Astony Electrical Decoration Deals with domestic and commercial Electrical wiring Tunafanya plan na kutengeneza michoro mbalimbali ya wiring kulingana na nyumba au mahitaji.

Astony electrical decoration ni wataalamu waliobobea katika kufanya wiring za kisasa majumbani ,maukumbini na sehemu za biashara. Tunafunga na kudisgn wiring mbalimbali za kisasa majumbani zinazohusisha master bed controler,master bed security na inter call systeam. Tunafunga taa mbalimbali za urembo kama vile gypsum light,wall light,chanderiel lamp,garden light,security light,alarm systeam na dim

mers light. Tunafunga na kupamba urembo wa taa kwenye sherehe mbalimbali harusi,send off,shughuli za kiserikali na binafsi. Tunabadilisha na kufanyia matengenezo wiring za zamani kwenda wiring ya kisasa. Tunatoa uangalizi wa mwaka mmoja(guarantee)tangu tufanye kazi yako na kufanya service kwa gharama zetu katika kipindi hicho. Tunatoa ushauri na kujadili namna ya kufanya kazi yako ipendeze "bure"

Address

External Ubungo. Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
796

Opening Hours

Monday 08:00 - 23:00
Tuesday 08:00 - 23:00
Wednesday 08:00 - 23:00
Thursday 08:00 - 23:00
Friday 08:00 - 23:00
Saturday 08:00 - 23:00
Sunday 08:00 - 23:00

Telephone

+255655859050

Website

Products

Electrical services

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Astony Electrical Decoration posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Astony Electrical Decoration:

Share