JengoSmart Designs

JengoSmart Designs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JengoSmart Designs, Architectural Designer, Dar es Salaam.

🔹 Uchoraji wa ramani za msingi (floor plans)
🔹 Ramani za vyumba, sebule, jikoni, corridors n.k.
🔹 Elevations & Sections
🔹 3D exterior + color schemes
🔹 Landscape concept ideas
🔹 Marekebisho & redesigns za nyumba za zamani

10/12/2025
Sio lazima uwe na kipato kikubwa ili uishi nyumba nzuri na boraHata kwa kipato kidogo sana bado unaweza kuishi k**a mfal...
03/12/2025

Sio lazima uwe na kipato kikubwa ili uishi nyumba nzuri na bora
Hata kwa kipato kidogo sana bado unaweza kuishi k**a
mfalme tena kwenye nyumba yako mwenyewe
Imani yako ndiyo itafanya uishi k**a mpangaji daima
au k**a mfalme kwenye nyumba yako mwenyewe

Mbali na kukupa ramani ya nyumba ya ndoto zako, tunakupa
ushauri sahihi wa kuweza kukusaidia kufikia malengo yako kuendana na kipato chako
(ni bure bila gharama)

uamuzi wako leo ndio mwanzo wakutimiza malengo yako kesho
amua sasa 2025 isipite bure
Anza mapema sasa ili mwezi wa 6 mwakani 2026 hamia kwako

02/12/2025

Unahitaji ramani nzuri?
Angalia ubora tunaoleta kwenye kila mchoro.
wasiliana nasi sasa kupata ramani ya hitaji lako

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JengoSmart Designs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share