08/04/2026
LEO tupo kwa mteja wetu Kigambon kuanza process za Kupaka Decor,,,✍️
Tulianza na Fungus Tritment
Tukapaka water proof kuondoa ukungu kwenye hata
Tunarepea board za zamani kudesgn za kisasa
Kwasasa tunasikim ukuta kwa Wall putty
Nje tunasikim ukuta Decor za kisasa ✍️
Mwisho tutamchagulia rangi nzuri unique colour
Mawasiliano Yangu;+255793663327
Visiting saite elf 30000/