USAFI

Website

USAFI Good products for the cleanliness of your home

KWA WAPENZI WA KUSOMA VITABU HII NI OFA YENU Hivi ni baadhi ya vitabu muhimu sana kuvisoma Ukitaka soft copy ya kitabu c...
25/10/2025

KWA WAPENZI WA KUSOMA VITABU HII NI OFA YENU
Hivi ni baadhi ya vitabu muhimu sana kuvisoma
Ukitaka soft copy ya kitabu chochote kati ya hivyo nicheki inbox 📥 kwa namba 0689646909
Bei soft copy ni 2500/=

1. BIASHARA
1. The Lean Startup – Eric Ries
→ Hufundisha jinsi ya kuanzisha biashara kwa kutumia rasilimali ndogo na kuboresha kwa majaribio.

2. Start with Why – Simon Sinek
→ Hufundisha umuhimu wa kujua sababu kuu ya biashara yako ili kuvutia wateja na wafanyakazi.

3. Zero to One – Peter Thiel
→ Hutoa mbinu ya kubuni bidhaa mpya badala ya kurudia zilizopo.

4. Good to Great – Jim Collins
→ Inafundisha jinsi kampuni za kawaida zinavyogeuka kuwa bora kwa mikakati ya muda mrefu.

---

2. FEDHA / UCHUMI
1. Rich Dad Poor Dad – Robert Kiyosaki
→ Tofauti kati ya fikra za maskini na tajiri kuhusu pesa na uwekezaji.

2. The Intelligent Investor – Benjamin Graham
→ Misingi ya uwekezaji salama kwa muda mrefu.

3. Your Money or Your Life – Vicki Robin
→ Jinsi ya kuunda uhusiano bora na pesa zako.

4. Think and Grow Rich – Napoleon Hill*
→ Mbinu za mafanikio ya kifedha kupitia nguvu ya fikra.

---

3. MAHUSIANO
1. The 5 Love Languages – Gary Chapman
→ Hufundisha njia tano za kuonyesha na kupokea upendo.

2. Men Are from Mars, Women Are from Venus – John Gray
→ Tofauti za mawasiliano kati ya wanaume na wanawake.

3. Attached – Amir Levine & Rachel Heller
→ Huelezea aina za attachment katika mahusiano.

4. Hold Me Tight – Dr. Sue Johnson*
→ Jinsi ya kuimarisha mahusiano kupitia mawasiliano ya kihisia.

---

4. HADITHI ZA MAISHA
1. Long Walk to Freedom – Nelson Mandela
→ Safari ya maisha, mateso na mafanikio ya Mandela.

2. Becoming – Michelle Obama
→ Hadithi ya maisha ya mke wa rais wa Marekani – kutoka utotoni hadi Ikulu.

3. The Diary of a Young Girl – Anne Frank
→ Maisha ya msichana wa Kiyahudi wakati wa vita.

4. Steve Jobs (Biography) – Walter Isaacson
→ Maisha ya muanzilishi wa Apple, ubunifu na changamoto zake.

---

5. KUGUNDUA KIPAJI
1. The Element – Ken Robinson
→ Kugundua kipaji chako na jinsi ya kukiendeleza.

2. Grit – Angela Duckworth
→ Nguvu ya uvumilivu na kujifunza kustahimili changamoto.

3. StrengthsFinder 2.0 – Tom Rath
→ Husaidia kutambua nguvu zako binafsi na namna ya kuzitumia.

4. Mastery – Robert Greene
→ Mchakato wa kuwa bingwa katika kipaji chochote unachokipenda.

Kalibu wahsap namba 0689646909
Kila soft copy ya kitabu utakacho chagua nitakutumia kwa ofa ya shilingi 2500/= ndani ya masaa 12
Pia kwa ushauri mapendekezo kalibu sana

Let's chat on WhatsApp! It's a fast, simple, and secure app we can use to message and call each other for free. Get it a...
25/12/2024

Let's chat on WhatsApp! It's a fast, simple, and secure app we can use to message and call each other for free. Get it at https://whatsapp.com/dl/

Bidhaa Bora za usafi wa majumbani pamoja na maofisini, Bidhaa hizi Zina kazi tofautitofauti k**a ifuatavyo.SUPER 10-tile...
19/12/2024

Bidhaa Bora za usafi wa majumbani pamoja na maofisini,
Bidhaa hizi Zina kazi tofautitofauti k**a ifuatavyo.

SUPER 10
-tiles
-masink aina zote.
-vyoo na mabafu.
-Majiko ya umeme na gesi.
-oven.
-microwave
-injini za magari.

CARPET GLO
-masofa ya vitambaa.
-mauria
-na faniture zote zenye cave za vitambaa.

Kwa maelezo zaidi njoo wahsapp kwa kugusa link hapo chini Kisha Anza na neno USAFI Kisha swali lako

Gusa link hiyo kuja wahsapp 👇👇
https://whatsapp.com/dl/

Tumia SUPER 10 Bidhaa Bora Kwa ajili ya Usafi wa tiles, Masink, Microwave, Majiko ya gas, Ukuta wenye mafuta, Oven,Fridg...
19/12/2024

Tumia SUPER 10 Bidhaa Bora Kwa ajili ya Usafi wa tiles, Masink, Microwave, Majiko ya gas, Ukuta wenye mafuta, Oven,Fridge za aina zote, husafisha vioo, Engenee za gari n.k
KWA MAELEZO ZAIDI
PGA/WhatsAp
0679365970
Follow@usafi

FANTASTIC  kwa usafi wa tailes zako ni 💥💥 kalibu tukupatie naww ujionee..Wahsapp namba 0689646909 kalibu bos
16/12/2024

FANTASTIC kwa usafi wa tailes zako ni 💥💥 kalibu tukupatie naww ujionee..
Wahsapp namba 0689646909 kalibu bos

Address

0000
Kibaha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when USAFI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share