Aïdari classic

Aïdari classic Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Aïdari classic, Home goods shop, Bujumbura.

27/05/2026
08/05/2026

: Ni kwa mara ya kwanza Azam FC inapoteza mechi kwenye NBC Premier League msimu huu.

FT: TRA United 4-1 Azam FC

Saa 12:30 jioni ni Namungo FC Vs Mashujaa FC LIVE

19/04/2026

Aliyekuwa Kiongozi wa Iran Ali Khamenei aliyefariki dunia tarehe 28 Februari 2026 baada ya shambulio la pamoja la kijeshi la Marekani na Israel, bado hajazikwa.

Kifo chake kimesababisha msukosuko mkubwa wa kisiasa ndani ya Iran na mabadiliko ya uongozi.

Kwa nini bado hajazikwa?
Taarifa nyingi za kuaminika zinaeleza sababu hizi kuu; Kwanza ni Hofu ya usalama, Serikali inaogopa kufanya Mazishi makubwa ya hadhara kwa sababu yanaweza kushambuliwa au kuzua ghasia.

Lakini pili, Hali ya vita na mvutano; Iran bado iko kwenye mzozo mkubwa wa kijeshi, hali inayofanya mipango ya mazishi kuwa hatari.

Tatu, Migawanyiko ya ndani ya uongozi; Kuna mvutano na ukosefu wa uthabiti serikalini baada ya kifo chake.

Mazishi yake yamecheleweshwa kwa makusudi kutokana na hatari za kiusalama na kisiasa.

Address

Bujumbura

Telephone

+25762757525

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aïdari classic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share