nomineesaint

nomineesaint Informações para nos contatar, mapa e direções, formulário para nos contatar, horário de funcionamento, serviços, classificações, fotos, vídeos e anúncios de nomineesaint, Designer arquiteto, Mpadeco, São Paulo.

22/03/2020
15/03/2020
03/03/2020

KISA CHA UKWELI USIACHE KUKISOMA MPAKA MWISHO

Mzee mmoja alikuwa yupo kwenye umauti akawaita watoto wake na alitaka kuwausia akamwambia mtoto wake mkubwa nipo na mke nilimuoa kwa siri na huyo mke mwenyewe yupo nje ya nchi yaani yupo Filipino na hii hapa anuani yake katika moja ya majimbo ya kiislamu Filipino jitahidi juu yake kumfatilia ili unitoe ktk dhima ewe mwanangu, alikufa yule baba na wakaenda kwa kadhi yeye na ndugu zake kugawa mirathi akakumbuka yule kaka mkubwa wosia alioachiwa na baba yake na akamuelezea kadhi na kadhi akaamri kuzuia ugawaji wa mirathi hadi atakapokuja mke kutoka Filipino.
Alibooking yule mtoto ticket ya kwenda Filipino na alipofika alianza kumtafuta mke wa baba yake na baada ya kutaabika sana ktk kumtafuta alimpata na nyumba yake nikijibanda tu kidogo, aligonga mlango akatoka ndani mwanamke aliyejistiri akajitambulisha yule mtoto akasema yule mwanamke: Mimi ndiye mke wa baba yako ivi umeniletea khabari kuwa baba yako amekufa Allah amrehemu.
Akamwambia itakulazimu uende pamoja namimi Riyadh (Saudi Arabia) hii ni oder kutoka kwa kadhi.
Alikamilisha maandalizi ya safari wakarudi Riyadh na wakaenda kwa kadhi na baada ya kugawa mirathi yeye alipata takriban riyali elfu nane (8000) na akaomuomba yule mtoto mkubwa amuwezeshe ili atekeleze ibada ya umra mkka.
Wakatekeleza ibada ya umra na hapo akarejea nchini kwake Filipino.
Baada ya miaka minne yule mtoto mkubwa alimmiss mama yake wa kambo akaenda kumtembelea Filipino na alipofika kwenye nyumba yake hakuona mabadiliko yoyote si inje wala ndani ilikuwa vile vile kibanda k**a alivokiona Mara ya kwanza.
Akamuuliza ziko wapi Mali zako ulizorithi kwanini haukujenga nyumba yako???
Akamwambia: hemu simama tuelekee kwenye markaz za mji wetu.
Na walisimama kwenye markaz kubwa ya kiislamu ambayo ni markaz inayojishughulisha na kuhifadhisha quran na ufundishaji wa dini na kuleya mayatima akamwambia hem nyanyua kichwa chako na akanyanyua kichwa chake akasoma jina la markazi limeandikwa jina la Baba yake
akasema: markazi hii nimeiandika kwa jina la baba yako na nimeijenga markaz hii kwa ajili yake k**a ni sadaqa yenye kuendelea kwa yeye baba yako huko akhera aliko.
alilia sana yule mtoto na alibaki na mshangao mkubwa kwa huyu mama yake wa kambo mama ambaye ana ukweli uaminifu na upendo wa dhati kwa baba yake.
alirudi kwao Riyaadh (saudi Arabia )na aliwakusanya ndugu zake mda alipofika tu na aliwaelezea aliyoyakuta kwa mama yao wa kambo hakuna aliyetoka usiku huo ispokuwa kila mmoja alichanga hela ilifikia riyali milion tano kwa ajili ya kuanzisha miradi yenye manufaa kwa ajili ya Marhoum Baba yao.
Mwanamke huyu aliyemuoa baba yao ndiye aliyewafundisha upendo wa kuipenda akhera kuliko dunia

Uzuri ulioje kwa kuoa mwanamke uliyeelekezwa na mtume wako Muhammad s.a.w
_______________
Sasa sijui wewe ndugu yangu unayetafuta mke kwenye profile za whtspp na F.book mwisho utakuja oa shetani awe anatamani ufe ili achukue ulichonacho!!!!

Allah atujaalie wake wema na waume wema

Karibu ujumuike nasi katika page yetu
Quran Muongozo Wangu

24/02/2020

Endereço

Mpadeco
São Paulo, SP

Telefone

+255628138299

Notificações

Seja o primeiro recebendo as novidades e nos deixe lhe enviar um e-mail quando nomineesaint posta notícias e promoções. Seu endereço de e-mail não será usado com qualquer outro objetivo, e pode cancelar a inscrição em qualquer momento.

Compartilhar