29/03/2026
Hapa ata ukipika indomie, it somehow looks like a 5-star meal 😂
Unajua ni ile vibe ya, “ni chakula ya haraka… but make it aesthetic.”
Karibu upate confidence ya kupost food kwa status bila apology 😅