Masanja Roof Designs

Masanja Roof Designs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Masanja Roof Designs, Home improvement, Kwa Morombo, Arusha.

๐Ÿ ๐Œ๐š๐Ÿ๐ฎ๐ง๐๐ข ๐›๐ข๐ง๐ ๐ฐ๐š ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฉ๐š๐ฎ๐š
๐Ÿ’ฐ ๐ต๐‘’๐‘– ๐‘›๐‘Ž๐‘“๐‘ข๐‘ข | ๐‘ข๐‘๐‘œ๐‘Ÿ๐‘Ž ๐‘ค๐‘Ž โ„Ž๐‘Ž๐‘™๐‘– ๐‘ฆ๐‘Ž ๐‘—๐‘ข๐‘ข
๐Ÿ”จ Tunapaua ๐—ป๐˜†๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ
๐Ÿ›ป Tunakufikia popote ulipo Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
โœ… Kazi safi, paa imara.- ๐Ÿค™ ๐—ง๐˜‚๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—Ÿ๐—ฒ๐—ผ

MASANJA ROOF DESIGNLeo tumeanza rasmi kazi ya kupaua nyumba ya gorofa eneo la Madale Mikoroshini, Dar es Salaam. Tunamsh...
22/04/2026

MASANJA ROOF DESIGN

Leo tumeanza rasmi kazi ya kupaua nyumba ya gorofa eneo la Madale Mikoroshini, Dar es Salaam. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutuamini na kutupa kazi kubwa na zenye thamani.

Kwa wateja wetu wapendwa, tunapenda kuwashauri mambo muhimu kabla ya kuanza kupaua nyumba yako:

โœ”๏ธ Chagua fundi mwenye uzoefu โ€“ Kazi ya paa ni nyeti sana, kosa dogo linaweza kusababisha kuvuja au uharibifu wa nyumba. Hakikisha unafanya kazi na mafundi wenye ujuzi na historia nzuri ya kazi.

โœ”๏ธ Tumia vifaa bora โ€“ Mbao imara na bati zenye ubora wa hali ya juu zitahakikisha paa lako linadumu kwa miaka mingi bila matatizo. Epuka vifaa vya bei rahisi visivyo na ubora.

โœ”๏ธ Zingatia pitch (mwinuko wa paa) โ€“ Mwinuko sahihi husaidia maji ya mvua kushuka vizuri na kulinda nyumba dhidi ya uvujaji.

โœ”๏ธ Usimamizi wa kazi ni muhimu โ€“ Hakikisha kuna ufuatiliaji mzuri wa hatua zote za kazi kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Sisi Masanja Roof Design tunahakikisha: ๐Ÿ”จ Kazi safi na imara
๐Ÿ“ Ubunifu wa kisasa
๐Ÿ  Ulinzi wa kudumu wa nyumba yako

Kwa kuona kazi zetu zaidi: ๐Ÿ“ฑ
๐Ÿ“ž Au

Chagua ubora, chagua Masanja Roof Design โ€“ Tunajenga paa imara kwa maisha marefu.

MASANJA ROOF DESIGNLeo tumeanza rasmi kazi ya kupaua nyumba ya gorofa eneo la Madale Mikoroshini, Dar es Salaam. Tunamsh...
22/04/2026

MASANJA ROOF DESIGN

Leo tumeanza rasmi kazi ya kupaua nyumba ya gorofa eneo la Madale Mikoroshini, Dar es Salaam. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutuamini na kutupa kazi kubwa na zenye thamani.

Kwa wateja wetu wapendwa, tunapenda kuwashauri mambo muhimu kabla ya kuanza kupaua nyumba yako:

โœ”๏ธ Chagua fundi mwenye uzoefu โ€“ Kazi ya paa ni nyeti sana, kosa dogo linaweza kusababisha kuvuja au uharibifu wa nyumba. Hakikisha unafanya kazi na mafundi wenye ujuzi na historia nzuri ya kazi.

โœ”๏ธ Tumia vifaa bora โ€“ Mbao imara na bati zenye ubora wa hali ya juu zitahakikisha paa lako linadumu kwa miaka mingi bila matatizo. Epuka vifaa vya bei rahisi visivyo na ubora.

โœ”๏ธ Zingatia pitch (mwinuko wa paa) โ€“ Mwinuko sahihi husaidia maji ya mvua kushuka vizuri na kulinda nyumba dhidi ya uvujaji.

โœ”๏ธ Usimamizi wa kazi ni muhimu โ€“ Hakikisha kuna ufuatiliaji mzuri wa hatua zote za kazi kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Sisi Masanja Roof Design tunahakikisha: ๐Ÿ”จ Kazi safi na imara
๐Ÿ“ Ubunifu wa kisasa
๐Ÿ  Ulinzi wa kudumu wa nyumba yako

Kwa kuona kazi zetu zaidi: ๐Ÿ“ฑ Tembelea kurasa zetu za Facebook na Instagram
๐Ÿ“ž Au tupigie simu: +255 769 967 600

Chagua ubora, chagua Masanja Roof Design โ€“ Tunajenga paa imara kwa maisha marefu.

04/04/2026

๐ŸŽฅ MASANJA ROOF DESIGN

Tunajivunia kutoa huduma bora za kitaalamu za kupaua nyumba zako kwa ubora wa hali ya juu na uimara wa kudumu. Paa ni sehemu muhimu sana ya nyumba, hivyo linahitaji umakini mkubwa katika uchaguzi wa fundi na vifaa.

๐Ÿ  Ushauri Muhimu kwa Mteja:

โœ”๏ธ Chagua fundi mwenye uzoefu
Hakikisha unafanya kazi na fundi aliye na uzoefu na kazi zinazoonekana. Usikimbilie bei rahisi bila kuangalia ubora wa kazi.

โœ”๏ธ Angalia kazi alizofanya kabla
Tembelea au omba kuona picha/video za miradi aliyowahi kufanya ili kujiridhisha na kiwango cha kazi yake.

โœ”๏ธ Tumia vifaa bora (Material)
Matumizi ya mbao imara na bati zenye ubora mzuri husaidia kuepuka matatizo k**a kuvuja kwa paa au kuoza kwa mbao mapema.

โœ”๏ธ Usikubali kazi ya haraka bila umakini
Kazi nzuri ya kupaua inahitaji muda, vipimo sahihi na ufundi wa hali ya juu.

โœ”๏ธ Zingatia ushauri wa kitaalamu
Mtaalamu atakushauri aina ya paa, mwinuko (pitch), na vifaa vinavyofaa kulingana na eneo lako.

๐Ÿ”จ Kwa nini uchague Masanja Roof Design?

โœ”๏ธ Uzoefu wa kutosha kwenye kazi za kupaua
โœ”๏ธ Ubora wa kazi unaoonekana
โœ”๏ธ Uaminifu na uwajibikaji
โœ”๏ธ Tunatumia vifaa vilivyothibitishwa ubora wake

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo:
+255 769 967 600

๐Ÿ“ฑ Tembelea kurasa zetu za Facebook & Instagram โ€“ Masanja Roof Design kuona kazi zetu zaidi.

๐Ÿ‘‰ Masanja Roof Design โ€“ Tunajenga paa imara, salama na lenye kuvutia!

MASANJA ROOF DESIGNTunamshukuru Mungu ๐Ÿ™Tumefanikiwa kukamilisha kazi ya kupaua nyumba ya mtumba โ€“ Dodoma kwa viwango bor...
01/02/2026

MASANJA ROOF DESIGN

Tunamshukuru Mungu ๐Ÿ™
Tumefanikiwa kukamilisha kazi ya kupaua nyumba ya mtumba โ€“ Dodoma kwa viwango bora na umakini mkubwa.

Kwa Masanja Roof Design, kupaua siyo tu kuweka bati juu ya nyumba, bali ni kutoa ulinzi wa kudumu kwa familia na mali yako. Ndiyo maana tunasisitiza sana matumizi ya mbao bora na bati zenye ubora wa hali ya juu.

Ushauri muhimu kwa wateja wetu:

โœ”๏ธ Tumia mbao imara na zilizokauka vizuri โ€“ mbao hafifu husababisha paa kulegea, kuvuja au kuharibika mapema.
โœ”๏ธ Chagua bati bora (aluminium zinc, mabati mazito au metro tiles) ili paa lidumu muda mrefu bila kutu.
โœ”๏ธ Fundimtaalamu ni muhimu โ€“ kazi nzuri ya kupaua huanza na mpangilio sahihi wa mbao (trusses) na vipimo sahihi.
โœ”๏ธ Usipunguze bajeti kwenye paa โ€“ paa zuri ni uwekezaji wa muda mrefu, si gharama ya muda mfupi.

Kwa kazi hii ya Mtumba โ€“ Dodoma, tumezingatia: โœ… Vipimo sahihi
โœ… Mbao bora
โœ… Ufungaji wa kitaalamu
โœ… Usalama na uimara wa paa

K**a unapanga kujenga au kupaua nyumba yako, usikimbilie bei rahisi bila ubora. Karibu Masanja Roof Design upate ushauri wa bure na kazi ya uhakika.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: +255 769 967 600
๐Ÿ“ Tunapatikana Tanzania nzima
๐Ÿ“ฒ Tembelea mitandao yetu ya kijamii Facebook & Instagram kuona kazi zetu halisi

Masanja Roof Design โ€“ Paa imara, maisha salama.

KAZI YA DODOMA โ€“ MTUMBA INAENDELEA KWA KASI ๐Ÿšง๐Ÿ Tunashukuru Mungu kwa hatua nzuri tuliyofikia kwenye mradi wetu wa kupaua ...
19/01/2026

KAZI YA DODOMA โ€“ MTUMBA INAENDELEA KWA KASI ๐Ÿšง๐Ÿ 

Tunashukuru Mungu kwa hatua nzuri tuliyofikia kwenye mradi wetu wa kupaua nyumba Dodoma โ€“ Mtumba.
Kwa sasa tumeshakamilisha hatua muhimu ya kugonga mbao (timber works) kwa umakini na viwango bora, na sasa tupo tayari kuendelea na hatua inayofuata ya kufunga mabati.

Kwa Masanja Roof Designs, tunahakikisha kila kazi tunayoifanya:
โœ” Inakuwa imara
โœ” Inakuwa safi
โœ” Inafuata viwango vya kitaalamu
โœ” Inamridhisha mteja kwa asilimia 100

Tunatumia vifaa bora, mafundi wenye uzoefu, na tunazingatia usalama pamoja na ubora wa kazi kwa kila mradi tunaochukua.

K**a una mpango wa kupaua nyumba yako, kubadilisha bati, au kufanya marekebisho ya paa โ€“ usisite kuwasiliana nasi.
Tunapatikana Dodoma na maeneo yote ya Tanzania.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: +255 769 967 600
๐Ÿ“ฒ Tufuatilie: Facebook & Instagram โ€“ Masanja Roof Designs
๐Ÿ“ Mradi: Dodoma โ€“ Mtumba

Masanja Roof Designs
Ubora, Uaminifu na Kazi Safi ๐Ÿ—๏ธโœจ

HABARI ZA LEO WAPENDWA WATEJA ๐Ÿ‘‹Kwa neema za Mwenyezi Mungu, Masanja Roof Design leo tumeanza rasmi kazi ya kupaua Mtumba...
13/01/2026

HABARI ZA LEO WAPENDWA WATEJA ๐Ÿ‘‹

Kwa neema za Mwenyezi Mungu, Masanja Roof Design leo tumeanza rasmi kazi ya kupaua Mtumba โ€“ Dodoma, tukiupokea mwaka 2026 kwa baraka, mafanikio na kazi mpya.

Sisi ni wataalamu wa kupaua nyumba kwa viwango vya kisasa, tukizingatia ubora, usalama na uimara wa paa lako. Tunatumia vifaa bora k**a mabati ya aluminium zinc, metro tiles, mabati ya kawaida, pamoja na mifumo imara ya mbao, fremu na finishing safi ili kuhakikisha nyumba yako inakuwa salama, imara na yenye mvuto wa kisasa.

Huduma zetu ni pamoja na:
โœ” Kupaua nyumba za makazi
โœ” Kupaua majengo ya biashara
โœ” Ufungaji wa mabati ya aina zote
โœ” Kurekebisha paa zilizoharibika
โœ” Ushauri wa kitaalamu kuhusu muundo wa paa na aina ya bati

Tunafanya kazi kwa uaminifu, usahihi na kwa wakati, tukizingatia mahitaji ya mteja na bajeti yake. Lengo letu ni kuhakikisha kila mteja anaridhika na matokeo ya kazi yetu.

๐Ÿ“Tunapatikana Dodoma, Moshi, na maeneo mengine Tanzania.
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi: +255 769 967 600
๐Ÿ“ฒ Tembelea mitandao yetu ya kijamii kuona kazi zetu halisi:
Facebook & Instagram โ€“ Masanja Roof Design

Karibu utupatie kazi yako leo โ€“
Masanja Roof Design, Ubora ni Dhamana Yetu! ๐Ÿ’ช๐Ÿ โœจ

01/01/2026

โœจ TUNAUFUNGA MWAKA 2025 KWA SHUKRANI KUBWA โœจ

Tunamshukuru Mungu na wateja wetu wote waliotuamini mwaka 2025. Tumefanya kazi nyingi za kupaua nyumba kwa ubora, uimara na usafi wa hali ya juu katika maeneo mbalimbali.
Asanteni sana kwa sapoti yenu ๐Ÿค๐Ÿ™

๐ŸŽ‰ KARIBU MWAKA MPYA 2026 ๐ŸŽ‰
Mwaka wa fursa mpya, miradi mipya na huduma bora zaidi!
Masanja Roof Design tumejipanga kuendelea kukupa huduma za kitaalamu za:
โœ”๏ธ Kupaua nyumba
โœ”๏ธ Mabati ya aina zote
โœ”๏ธ Metro tiles
โœ”๏ธ Aluminium zinc
โœ”๏ธ Kazi imara na za kudumu

๐ŸŽฅ Tazama video hii uone ubora wa kazi zetu
๐Ÿ“ฒ Tufuatilie kupitia Instagram & Facebook โ€“ Masanja Roof Design
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi kwa kazi au ushauri: +255 769 967 600

๐Ÿ‘‰ Ukiwa unapanga kujenga au kupaua mwaka 2026, Masanja Roof Design ni chaguolako

Masanja Roof Design tumekabidhi kikamilifu kazi ya kupaua Dodoma โ€“ Nzuguni kwa ubora na ustadi wa hali ya juu.Tunatoa hu...
28/12/2025

Masanja Roof Design tumekabidhi kikamilifu kazi ya kupaua Dodoma โ€“ Nzuguni kwa ubora na ustadi wa hali ya juu.
Tunatoa huduma za kupaua zenye uimara, usalama na muonekano mzuri.

Ukipenda kazi zetu, tupigie simu au tuma ujumbe (Call/Message):
๐Ÿ“ž +255 769 967 600

Tufuatilie na ututembelee kwenye mitandao ya kijamii:
๐Ÿ‘‰ Facebook: Masanja Roof Design
๐Ÿ‘‰ Instagram: Masanja Roof Design

Masanja Roof Design โ€“ Ubora na Uaminifu kwenye Paa lako.

๐Ÿ  MASANJA ROOF DESIGNS ๐Ÿ Tunatoa huduma bora na za uhakika za kupaua nyumba, kugonga mbao (timber works), fascia boards, ...
19/12/2025

๐Ÿ  MASANJA ROOF DESIGNS ๐Ÿ 

Tunatoa huduma bora na za uhakika za kupaua nyumba, kugonga mbao (timber works), fascia boards, na kumalizia paa kwa viwango vya kisasa.
Kazi zetu zina ubora, uimara na umaliziaji safi unaovutia macho โœจ

โœ… Tunatumia vifaa vyenye ubora
โœ… Tunazingatia usalama na mpangilio wa kitaalamu
โœ… Bei nafuu kulingana na kazi
โœ… Tunafanya kazi kwa uaminifu na kwa wakati

๐Ÿ“ Tunapatikana ARUSHA, na tunasafiri popote Tanzania kwa kazi.

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo:
+255 769 967 600

๐Ÿ‘‰ Chagua Masanja Roof Designs kwa paa imara na lenye mvuto kwa nyumba yako.
Ubora ni kipaumbele chetu! ๐Ÿ’ช๐Ÿพ

โ€œLeo tumekabidhi kwa mafanikio kazi ya kugonga mbao za paa kwa kajumba kadogo upande wa Songeaโ€“Mbinga. Kazi imefanyika k...
15/12/2025

โ€œLeo tumekabidhi kwa mafanikio kazi ya kugonga mbao za paa kwa kajumba kadogo upande wa Songeaโ€“Mbinga. Kazi imefanyika kwa ubora na umakini mkubwa. Kwa sasa tunasubiri bati kwa hatua inayofuata. Asante kwa kutuamini โ€” Masanja Roof Designs. ๐Ÿ“ž 0769 967 600โ€

โœ… MASANJA ROOF DESIGNLeo tumekamilisha kwa mafanikio kazi ya kupaua nyumba Kitonga โ€“ Chanika, tukitimiza ahadi yetu ya k...
26/10/2025

โœ… MASANJA ROOF DESIGN

Leo tumekamilisha kwa mafanikio kazi ya kupaua nyumba Kitonga โ€“ Chanika, tukitimiza ahadi yetu ya kutoa ubora na ustadi wa hali ya juu. ๐Ÿ’ช

Kazi ya kupaua si jambo la haraka au la kubahatisha โ€” ni hatua muhimu sana katika ujenzi wa nyumba, kwani paa ndio kinga ya nyumba yako dhidi ya jua, mvua, na upepo. Ukipewa fundi asiye na uzoefu, nyumba inaweza kuharibika mapema, lakini ukiamini Masanja Roof Design, unapata kazi ya kitaalamu, yenye umaridadi, usahihi na uimara wa kudumu. ๐Ÿ โœจ

Tunakushauri usikimbilie bei nafuu bila kuangalia ubora, kwani ubora ndio unaolinda nyumba yako miaka mingi ijayo.
Masanja Roof Design tumejikita katika kupaua mapaa ya aina zote โ€“ ya kisasa, ya kuezekea bati, tiles, au mabati ya design mbalimbali โ€“ kwa kutumia mafundi wenye uzoefu mkubwa na vifaa bora.

๐Ÿ“Tunapatikana ARUSHA, lakini tunafanya kazi popote TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi kupitia simu: +255 769 967 600
๐Ÿ“ธ Tembelea kurasa zetu za Facebook na Instagram kuona kazi zetu halisi.

Masanja Roof Design โ€“ Kazi nzuri hujitangaza yenyewe! ๐Ÿ”จ๐Ÿก

Address

Kwa Morombo
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masanja Roof Designs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share