03/06/2026
Leo kazi: SKIM COAT UKUTA MPYA ✅
Kabla: Ukuta ulikuwa na mabumps, mashimo madogo, na uso mbaya.
Sasa: Tumepata uso laini k**a kioo, tayari kwa rangi ya mwisho.
Skim coat moja inafanya nini?
1. Inaficha nyufa na mashimo yote madogo
2. Inatoa uso mlaini 100% - rangi inakaa vizuri zaidi
3. Inapunguza matumizi ya rangi. Ukuta ukiwa laini rangi inatosha kidogo
Unataka nyumba yako ionekane mpya na safi? Hii ndio hatua ya kwanza.
Nipigie: 0788624915 kwa kazi safi ya fundi.
kazi: SKIM COAT UKUTA MPYA ✅