Mama fundi rangi

Mama fundi rangi we offer excellent services in
SKIMMING |PAINTING |CONMIX & DREWA

21/03/2026

Eid Mubarak!!



Heri ya Christmas maboss zangu,ikawe heri kwenu na familia zenu,namba zangu ni zile zilePiga/WhatsApp:+255684181092     ...
24/12/2025

Heri ya Christmas maboss zangu,ikawe heri kwenu na familia zenu,namba zangu ni zile zile

Piga/WhatsApp:+255684181092

24/10/2025

Karibu mama fundi rangi kwa ushauri na kazi za

SKIMMING |PAINTING |RENOVATION |MINART DECOR NA DECORATIONS ZOTE

Tupige/WhatsApp:+255684181092

Call now to connect with business.

Nichukue nafasi hii,kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kushiriki kwenys tuzo za  .pili niwashukuru waandaaji wa tuzo hizi ...
25/05/2025

Nichukue nafasi hii,kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kushiriki kwenys tuzo za .

pili niwashukuru waandaaji wa tuzo hizi kwa kutambua mchango wetu mafundi katika ujenzi wa taifa letu,Mungu awabariki sana na wote walio shiriki ikiwa na pamoja na wadhamini wote.
japo kwa wakati huu haikuwa kwa upande wangu ila tunaamini wakati mwingine Mungu akitupa uzima tutashinda.ahsanteni wote kwa kuwa nami!.

Tatizo hili linawakumba watu wengi sana hasa kwa nyumba za Hidden roof (Contemporary), fanya hivi ili kumaliza hili tati...
24/05/2025

Tatizo hili linawakumba watu wengi sana hasa kwa nyumba za Hidden roof (Contemporary), fanya hivi ili kumaliza hili tatizo
Tutafute tuweze kuifanya nyumba yako kuwa na muonekana wa kipekee sana!

Tupigie/WhatsApp: +255684181092

Eid Mubarak maboss zangu!
31/03/2025

Eid Mubarak maboss zangu!

Hatua kwa hatua mpaka tunahakikisha unapata kitu cha tofauti katika ubora wa finishing ya nyumba yako.Karibu sana maboss...
22/02/2025

Hatua kwa hatua mpaka tunahakikisha unapata kitu cha tofauti katika ubora wa finishing ya nyumba yako.
Karibu sana maboss zangu kwa kazi za:-

SKIMMING, RANGI,UKARABATI WA NYUMBA YAKO NA DECORATIONS ZOTE ZA RANGI.

TUPIGIE/WHATSAPP: +255684181092.

Interlocking brick work!Karibuni maboss zangu,tuibadilishe nyumba yako na tuipe muonekane wa kipekee kabisa kwa finishin...
18/02/2025

Interlocking brick work!

Karibuni maboss zangu,tuibadilishe nyumba yako na tuipe muonekane wa kipekee kabisa kwa finishing bora sana.
Kwa kazi za PAINTING, SKIMMING, RENOVATION NA DECORATIONS ZOTE.

TUPIGIE/WHATSAPP: +255684181092

07/11/2024

Check out mama fundi rangi’s video.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255684181092

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama fundi rangi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category