KWEMA Hardware

KWEMA Hardware Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KWEMA Hardware, Home improvement, Kibada Kwa Sadara, Dar es Salaam.

Ng'arisha fenicha za zamani kwa kutumia MSASA. ---------------------------------------                                  ...
04/10/2021

Ng'arisha fenicha za zamani kwa kutumia MSASA.
---------------------------------------

Je umepaka nyumba yako rangi ?Nyumba yako ni sehemu kuu ya kupumzisha akili baada ya kutoka katika mihangaiko ya kila si...
15/07/2021

Je umepaka nyumba yako rangi ?

Nyumba yako ni sehemu kuu ya kupumzisha akili baada ya kutoka katika mihangaiko ya kila siku.

Ni vizuri kuandaa mazingira mazuri yenye kuvutia katika nyumba yako ......
... njia pekee ya kuongeza furaha na amani katika nyumba yako ni kupaka rangi nzuri yenye kuvutia.

Unatakiwa kupaka rangi nzuri yenye kuvutia na kumwita fundi wa rangi mzoefu aweze kuifanya kazi hiyo kwa weledi mkubwa.

Kumbuka .....
.... Kila mtu anahitaji kuishi katika nyumba nzuri na yenye kuvutia.

Hatua ya mwanzo inayoweza kuifanya nyumba kuwa na muonekano mzuri ni kupaka rangi yenye mvuto wa aina yake.

Karibu KWEMA HARDWARE kwa mahitaji ya rangi bora za ujenzi pamoja na vifaa vyengine vya ujenzi.

Karibu KWEMA HARDWARE tuweze kurahisisha mahitaji yako ya ujenzi kupitia vifaa vyetu pamoja na ushauri.

KWEMA HARDWARE.

Karibu KWEMA HARDWARE ujipatie vifaa bora vya umeme.Tunauza jumla na reja reja.Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.Kwa ...
15/07/2021

Karibu KWEMA HARDWARE ujipatie vifaa bora vya umeme.

Tunauza jumla na reja reja.

Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.

Kwa mawasiliano zaidi:

+255 657 819 493
+255 762 768 011

Tunapatikana kibada kwa sadara.

Karibuni sana.

Address

Kibada Kwa Sadara
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KWEMA Hardware posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share