Mr dualis siwa car decoration.

Mr dualis siwa car decoration. Leather seat cover Tunashona seat cover za magari , roof makava ya milango nk .

17/08/2022

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasau hilo na k**a wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.

Hichilema amehoji “Kwanini mnatumia pesa kumnunulia Meya VX? hiyo pesa ya kumnunulia Meya VX inaweza kuweka vyoo katika masoko yote kwenye miji yenu, piteni katika mstari huo.... Meya bado anaweza kuendesha gari zuri k**a vile Hilux double cabin sio lazima gari liwe VX, mkitaka kuendesha VX nunueni kwa pesa zenu”

Kwa upande mwingine Rais huyu ambaye hakutaka kupokea mshahara wa Urais kwa miezi nane akisema kilichomsukuma kuingia madarakani sio pesa bali uzalendo wa kuijenga Nchi yake, aliwataka pia Watumishi wa Serikali wanaotaka kuongezewa mishahara wafikirie Wananchi ambao wanateseka kabla ya kutaka nyongeza hiyo "Unapoona mshahara unaingia kwenye akaunti yako ya benki kumbuka ni Mama Mjane amenilipa mshahara huu kwa hiyo kabla ya kuomba nyongeza jiulize vipi kuhusu yule anayekulipa mshahara wako wa sasa? Mtoto wake anakaa chini darasani.” ——— Hakainde Hichilema.

Kazi safi yenye ubora kwa wakati Call 0624844847
29/05/2022

Kazi safi yenye ubora kwa wakati
Call 0624844847

Kazi safi yenye ubora, tunajali muda wako.Call 0624484947
29/05/2022

Kazi safi yenye ubora, tunajali muda wako.
Call 0624484947

Kazi bora kwa wakati Call 0624844947Mr dualis leather seat cover.
29/05/2022

Kazi bora kwa wakati
Call 0624844947
Mr dualis leather seat cover.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255624844947

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr dualis siwa car decoration. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mr dualis siwa car decoration.:

Share