08/04/2026
Gundua ubora wa hali ya juu katika Tiles za viwango vya juu (premium) Tunakuletea makusanyo bora kutoka kwa chapa zinazoheshimika duniani: Vermora, Baldocer na Emigres. Tiles za kudumu, za kisasa na za kifahari zinavyobadilisha nyumba yako kuwa na mwonekano wa kipekee na wa kudumu. Bora kwa sakafu na kuta. Chagua ubora, chagua uzuri wa kweli!
Tembelea showroom yetu At Tile & Style barabara ya Bagamoyo Mkabala na Tropical Center au KFC
AU Piga 0747203385 kupata maelekezo zaidi
💎🛁