Mtiifu Plumbing Service

Mtiifu Plumbing Service Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtiifu Plumbing Service, Home improvement, Mombasa Dar es salaam, Dar es Salaam.

Wadau wangu nawaletea Mrejesho wetu wa Kazi ya Plumbing Designer kutoka Bunju Mianzini Site kwa Boss wetu Hatua ya Awamu...
17/11/2022

Wadau wangu nawaletea Mrejesho wetu wa Kazi ya Plumbing Designer kutoka Bunju Mianzini Site kwa Boss wetu Hatua ya Awamu ya Kwanza baada ya kukamilika Kazi yetu Mfumo wa maji safi cold na Hot, Maji ya mvua, Maji machafu na mfumo wa maji Taka. Tunamshukuru Boss wetu kuikubari na kuiamini MTIIFU PLUMBING SERVICE. "MUNGU NI MWEMA KILA WAKATI " # # 0757990824 & 0789026330 # # Karibuni sana kwa huduma bora kutoka kwetu sisi

Leo wadau wangu nawaretea kwenu Mrejesho wetu wa plumbing Designer Finishing kutoka kwa Maboss zangu hapa Kwa Msuguri Bo...
25/10/2022

Leo wadau wangu nawaretea kwenu Mrejesho wetu wa plumbing Designer Finishing kutoka kwa Maboss zangu hapa Kwa Msuguri Bochi hospital Ltd baada ya kukabidhi Kazi yetu. Mi na team yangu MTIIFU PLUMBING SERVICE Tunamshuku wadau wetu kwa kutuamini kwenye kazi Zetu Tunamshuku MUNGU kukabidhi Kazi yetu vizuri. Karibu tujenge pamoja Taifa letu sisi kambi popote pale Tanzania tunafika. # # # 0757990824 & 0789026330 Tuko Dar Es Salaam TANZANIA.

Leo napenda kuwapatia Mrejesho wetu wa Kazi ya Plumbing Designer  FIRST STAGE  kutoka kwetu MBWENI Mianzini  Site kwa bo...
07/10/2022

Leo napenda kuwapatia Mrejesho wetu wa Kazi ya Plumbing Designer FIRST STAGE kutoka kwetu MBWENI Mianzini Site kwa boss wetu na huo ndiyo mjeresho wetu. " KWETU SISI KAZI NI UFALME" Tunapatikana Dar Es Salaam TANZANIA 0757990824 WhatsApp only & 0789026330 Karibuni sana kwa huduma bora za PLUMBING SERVICE

Leo Wadau wetu napenda kuwapatia Mrejesho wetu wa kazi ya  plumbing Designer Sanitary appliances finishing Kwa Boss wetu...
21/09/2022

Leo Wadau wetu napenda kuwapatia Mrejesho wetu wa kazi ya plumbing Designer Sanitary appliances finishing Kwa Boss wetu TEGETA kwa Ndevu. sisi Mjeta kwetu ni Mfalme na tunampatia Kilicho bora kutoka kwetu sisi na wala hatojutia kufanya kazi na sisi. Tuko Mombasa Dar Es Salaam Tanzania kambi popote pale tunafika. +255757990824 & +255789026330

28/08/2022

SLUICE SINK COMPLETE SET hii inatumia mfumo wa Cold water na Hot water supply na Waste pipe yake 4" inafungwa kwenye Hospital maeneo yanakofanyika Oparesheni kubwa Chumba special. Kazi yake Sluice Sink hupokea uchafu mzito utokanao na Oparesheni kubwa ya mwanadamu mfano; Mama ikijifungua uchafu unawekwa hapo au Damu nzito inamwagwa hapo. Hii ipo kwenye Jengo la wodi Mama na Mtoto SEKOU-TOURE Hospital Mwanza. No: +255757990824 & +255789026330 Karibu kwa huduma bora kutoka kwetu sisi wala hautajutia

28/08/2022

SCRUB SINK complete inatumia mfumo wa Cold water na Hot water supply inafungwa kwenye Hospital maeneo yanakofanyika Oparesheni Ndogo na Waste pipe yake 2" tu. Hii scrub sink lipo jengo la Wodi mama na mtoto SEKOU- TOURE . # # +255757990824 WhatsApp online # #

MTIIFU PLUMBING SERVICE Tunamshuku MUNGU kukabidhi Kazi yetu ya Plumbing Kwa TBA Mkoani Mwanza katika Hospital ya Rufaa ...
27/08/2022

MTIIFU PLUMBING SERVICE Tunamshuku MUNGU kukabidhi Kazi yetu ya Plumbing Kwa TBA Mkoani Mwanza katika Hospital ya Rufaa Jengo la wodi ya Mama na Mtoto SEKOU- TOURE na huu ndiyo mjeresho wetu wa Finishing. Sisi huwa hatupoi karbu kwa huduma bora za PLUMBING Designer. Tuko Mombasa Dar Es Salaam Tanzania +255757990824 or +255789026330

Leo Tunakuletea Kazi yetu ya Plumbing DESIGNER tuliofanya Moshi - UHURU Shimbwe.Tunamshuku Boss wetu Kuiamini MTIIFU PLU...
21/08/2022

Leo Tunakuletea Kazi yetu ya Plumbing DESIGNER tuliofanya Moshi - UHURU Shimbwe.Tunamshuku Boss wetu Kuiamini MTIIFU PLUMBING ndiyo kimbilio lenu wadau maana kwenye hii fani hatubahatishi sisi kambi popote pale Tanzania. NO 0757990824 "KAZI IENDELEE"

Sisi Mteja kwetu ni Mfalme tunampatia Kilicho bora chenye Ufanisi, Weledi, Ubunifu na  mipangilio mzuri wa Kazi ya Plumb...
15/08/2022

Sisi Mteja kwetu ni Mfalme tunampatia Kilicho bora chenye Ufanisi, Weledi, Ubunifu na mipangilio mzuri wa Kazi ya Plumbing Designer. Huu ni Mrejesho wetu kutoka DODOMA Site Atuwa ya Awali. " KAZI IENDELEE"

Ewe Mteja wetu kwanni Uangaike?? Karibu upate kilicho bora kutoka kwetu sisi. Huu ni Mrejesho wetu kutoka kwetu IYUMBU -...
13/08/2022

Ewe Mteja wetu kwanni Uangaike?? Karibu upate kilicho bora kutoka kwetu sisi. Huu ni Mrejesho wetu kutoka kwetu IYUMBU - Dodoma # # 0757990824 WhatsApp only & 0789026330 # #

💪💪💪 kwetu sisi Mteja tunampa Kilicho bora  wala hatubahatishi kwenye Kazi zetu. Huu ni Mrejesho wetu kutoka BOKO MAGENGE...
12/08/2022

💪💪💪 kwetu sisi Mteja tunampa Kilicho bora wala hatubahatishi kwenye Kazi zetu. Huu ni Mrejesho wetu kutoka BOKO MAGENGENI. Tunapatikana kwa no 0757990824 or 0789026330 Tuko Mombasa Dar Es Salaam TANZANIA sisi kambi popote pale Tunafika 💪💪💪 MUNGU NI MWEMA

Tunakupa Kilicho bora kutoka kwetu sisi na huu ni Mrejesho wetu wa  1st Stage  ya Kazi ya   Plumbing Designer  Clean Wat...
31/07/2022

Tunakupa Kilicho bora kutoka kwetu sisi na huu ni Mrejesho wetu wa 1st Stage ya Kazi ya Plumbing Designer Clean Water supply = Cold + Hot water, Waste water & Soil water pipes System BUNJU "B" kwa mawadiliano Zaidi tunapatikana kwa no +255757990824 & +255789026330 Tuko Mombasa Dar Es Salaam Tanzania

Address

Mombasa Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255757990824

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtiifu Plumbing Service posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share