Mrefu Electronics

Mrefu Electronics MREFU ELECTRONICS, Sisi ni Duka la mtandao tunauza bidhaa mbali mbali k**a Tv, Friji, Majiko, Radio

๐Ÿšจ OFa KUBWA โ€“ TV YA KIFALME! ๐Ÿšจ๐Ÿ”ฅ Hisense 100โ€ QLED Smart TV (Model 100Q7Q) ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‰ Bei: Tsh 6,200,000 tu!Unataka cinema nyumba...
22/03/2026

๐Ÿšจ OFa KUBWA โ€“ TV YA KIFALME! ๐Ÿšจ
๐Ÿ”ฅ Hisense 100โ€ QLED Smart TV (Model 100Q7Q) ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ‘‰ Bei: Tsh 6,200,000 tu!
Unataka cinema nyumbani? Hii ndiyo jibu ๐Ÿ‘‡
โœ… Inch 100 โ€“ Screen KUBWA sana ๐Ÿ˜ณ
โœ… 4K Ultra HD โ€“ Picha kali k**a uhalisia
โœ… QLED Technology โ€“ Rangi zinangโ€™aa sana ๐ŸŽจ
โœ… 144Hz โ€“ Hakuna lag (perfect kwa mpira & PS5 ๐ŸŽฎ)
โœ… Netflix, YouTube, Prime Video ndani
โœ… Sauti nzito (Built-in Subwoofer ๐Ÿ”Š)
๐Ÿ’ฅ Perfect kwa:
โœ”๏ธ Nyumbani (luxury setup)
โœ”๏ธ Bar / Pub ๐Ÿป
โœ”๏ธ Hotel / Business
๐Ÿ”ฅ Hii si TVโ€ฆ ni EXPERIENCE! ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ“ฒ Wahi sasa โ€“ stock ni ndogo!
๐Ÿ“ Tunapatikana: [kariakoo nyamwezi/uhuru]
๐Ÿ“ž Piga / #0712060305
WhatsApp: #0682097337/ #0712060305

WAKATI WA KUBORESHA BIASHARA YAKO UMEFIKA!Je, unataka chips zako ziwe crispy, za kuvutia na zikaangwe kwa haraka?Tunayo ...
15/03/2026

WAKATI WA KUBORESHA BIASHARA YAKO UMEFIKA!
Je, unataka chips zako ziwe crispy, za kuvutia na zikaangwe kwa haraka?
Tunayo Deep Fryer ya Kisasa yenye teknolojia ya kudhibiti joto inayokuwezesha kukaanga chakula kwa ubora wa mgahawa mkubwa.
๐ŸŸ Chips
๐Ÿ— Kuku
๐ŸŸ Samaki
๐ŸฅŸ Sambusa
Vyakula vyote vitatoka vikiwa vya rangi ya dhahabu na ladha tamu sana!
๐Ÿ’ฅ Ina sehemu mbili za kukaangia kwa uzalishaji mkubwa wa biashara.
๐Ÿ’ฅ Rahisi kutumia, imara na inadumu kwa muda mrefu.
๐Ÿ“ž Piga simu au tuma ujumbe sasa kuagiza!
๐Ÿ“ž #0712060305
๐Ÿš€ Boresha biashara yako leo na Deep Fryer hii ya kisasa!

๐ŸŽ‰ SPIKA KALI YA SHEREHE IMEFIKA! ๐Ÿ”Š๐Ÿ”ฅUnatafuta spika yenye sauti kubwa, Bass nzito na mwanga wa kuvutia?Chagua JBL PartyBo...
15/03/2026

๐ŸŽ‰ SPIKA KALI YA SHEREHE IMEFIKA! ๐Ÿ”Š๐Ÿ”ฅ

Unatafuta spika yenye sauti kubwa,
Bass nzito na mwanga wa kuvutia?
Chagua JBL PartyBox Stage 320
Spika ya kisasa inayobadilisha sehemu yoyote kuwa party kamili! ๐ŸŽถโœจ

โœ… Sauti kubwa na safi sana
โœ… Bass nzito inayotikisa mazingira
โœ… Taa za RGB zinazocheza na muziki
โœ… Bluetooth โ€“ unganisha simu kwa urahisi
โœ… Betri inadumu muda mrefu
โœ… Rahisi kubeba popote

๐Ÿ”ฅ Inafaa kwa:
Sherehe โ€ข Nyumbani โ€ข Safari โ€ข Matukio โ€ข Biashara ya muziki

๐Ÿ“ฆ Inapatikana sasa kwa bei nzuri sana!
โœ…๏ธTsh 1.4M
๐Ÿ“ฒ Wahi kuwasiliana nasi sasa kuagiza kabla hazijaisha!

โœ…๏ธkwa whats #0712060305

28/02/2026
Aiwa Sound Pro Wireless Soundbar (SB8320) - bidhaa nzuri sana!Maelezo ya Bidhaa:Brand: Aiwa (Japan)Model: Sound Pro SB83...
28/02/2026

Aiwa Sound Pro Wireless Soundbar
(SB8320) - bidhaa nzuri sana!
Maelezo ya Bidhaa:
Brand: Aiwa (Japan)
Model: Sound Pro SB8320
Nguvu: 450W
Vifaa:
Soundbar (mstari mrefu)
Subwoofer (spika kubwa ya bass)
Features:
๐Ÿ“ป FM Radio
๐Ÿ”ต Bluetooth
๐Ÿ”Š Dynamic Bass
๐Ÿ“บ HDMI

Bei (TSh)=329,000/=
Wasiliana nasi kwa
#0712060305 whts

12/02/2026

STEAM CLEANER

Inasafisha na kuondoa uchafu wa aina zote, hasa wenye mafuta na mafuta mazito.
Inayeyusha uchafu haraka bila kutumia kemikali kali.

Inafaa kwa:
โ€ข Sakafu
โ€ข Jikoni
โ€ข Sofa
โ€ข Magari
โ€ข Vyoo na bafu

Usafi wa kisasa, haraka na wenye ufanisi zaidi.
Wasiliana nasi kupata yako leo!
โœ…Price 110,000/=

07/02/2026

Huduma ya kuuza na kufunga Air Condition majumbani na maofisini ๐Ÿ โ„๏ธ

Unahitaji hewa safi na baridi ndani ya nyumba yako au ofisi yako?ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย  ย ย 
Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kufunga, kusafisha na kutengeneza Air Condition kwa bei nafuu na ubora wa uhakika.

โœ”๏ธ Ufungaji wa aina zote za AC
โœ”๏ธ Matengenezo na usafishaji
โœ”๏ธ Ushauri wa kuchagua AC sahihi kwa nyumba yako
โœ”๏ธ Huduma ya haraka na ya kuaminika

Fanya nyumba yako ofisi yako iwe sehemu ya kupumzika kweli hata wakati wa joto kali.

Wasiliana nasi leo:
๐Ÿ“ž 0712060305
๐Ÿ“ Kariakoo

04/10/2025

Watch, follow, and discover more trending content.

Address

K/koo, Uhuru/nyamwezi
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mrefu Electronics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mrefu Electronics:

Share