Upendo Florist

Upendo Florist Karibu sana Upendo Florist kwa maua, vyungu vya maua,stand za maua.Tunafanya pia landscaping,gardening,upangaji maua na ushauri juu ya utunzaji wa maua.

🌱🌱🪴🌱🪴🌴🌴🌳🌴🌱💖
06/06/2026

🌱🌱🪴🌱🪴🌴🌴🌳🌴🌱💖

Karibuni mniungishe udongo kidogo jamani... msisubiri mpaka mgongo uanze kuomba likizo! Kila mfuko wa Upendo Florist Org...
03/06/2026

Karibuni mniungishe udongo kidogo jamani... msisubiri mpaka mgongo uanze kuomba likizo! Kila mfuko wa Upendo Florist Organic Potting Soil unaongeza afya kwa mimea na tabasamu kwangu.Mfuko ni elfu 10 tu.
Tunafanya delivery 0763588009

Maua ni zaidi ya mapambo. Ni sehemu ya afya, furaha, thamani na ustaarabu wa maisha yetu. Tuyapende mazingira yetu.
02/06/2026

Maua ni zaidi ya mapambo. Ni sehemu ya afya, furaha, thamani na ustaarabu wa maisha yetu. Tuyapende mazingira yetu.

30/05/2026

Beautiful Saturday.....
DSM YA KIJANI INAWEZEKANA 🪴🌱🪴💖🤩

Kwanini utumie Upendo Florist Organic Potting Soil?Una virutubisho muhimu vinavyohitajika na mimeaUdongo wa organic weny...
30/05/2026

Kwanini utumie Upendo Florist Organic Potting Soil?

Una virutubisho muhimu vinavyohitajika na mimea
Udongo wa organic wenye ubora husaidia mimea kukua ikiwa na afya, majani yenye rangi nzuri, na maua mengi kwa sababu una virutubisho vya asili vinavyosaidia ukuaji wa mizizi, majani na maua.

Unaruhusu mizizi kupumua
Muundo mzuri wa udongo huwezesha hewa kupita vizuri kwenye mizizi, jambo linalosaidia mimea kuwa na afya na kuzuia kuoza kwa mizizi

Tunafanya delivery 0763588009

Eid al-Adha
27/05/2026

Eid al-Adha

Mfuko ni ELFU 10 tu.Tunafanya delivery tupigie tukufikie 0763588009
23/05/2026

Mfuko ni ELFU 10 tu.
Tunafanya delivery tupigie tukufikie 0763588009

Je, unataka maua yako yawe na afya, yawe na mvuto wa kipekee, na bustani yako iwe mfano wa kuvutia?Hii ni nafasi yako ya...
20/05/2026

Je, unataka maua yako yawe na afya, yawe na mvuto wa kipekee, na bustani yako iwe mfano wa kuvutia?
Hii ni nafasi yako ya kujifunza kwa kiwango cha juu zaidi.

Ndani ya Mafunzo Haya Utajifunza:

🌱Umwagiliaji sahihi wa mimea kulingana na aina
🌱Mbinu bora za uoteshaji wa maua
🌱Uchaguzi wa udongo sahihi kwa ukuaji wenye afya
🌱Umuhimu wa kutumia mbolea organic kwa matokeo bora
🌱Utambuzi wa magonjwa ya maua & tiba zake
🌱Utunzaji wa aina mbalimbali za maua na mimea
🌱Na vidokezo vya kitaalamu vya kuongeza thamani ya bustani yako.
KWA ELFU 25 TU

Maua yako hayachanui vizuri? Mimea inadumaa?Usiangaike tena… Siri ya maua yenye afya inaanzia kwenye udongo bora na mbol...
19/05/2026

Maua yako hayachanui vizuri? Mimea inadumaa?
Usiangaike tena… Siri ya maua yenye afya inaanzia kwenye udongo bora na mbolea sahihi.

Tumia Upendo florist organic potting soil pamoja na Upendo florist organic fertilizer kupata:

✅ Ukuaji wenye afya
✅ Maua kuchanua vizuri
✅ Mimea kuzaliana
✅ Rutuba ya asili 100% organic
✅️Rafiki wa mazingira
🌼 Organic bora kwa maua,mbogamboga na mimea yote.

📦 Mfuko ni elfu 10 tu
🚚 Tunafanya delivery Dar & Mikoani
📞 Tupigie: 0763588009
Upendo Florist
“Tuyapende mazingira yetu.”

A flower does not think of competing with the flower next to it. It just blooms......0763588009Only
18/05/2026

A flower does not think of competing with the flower next to it. It just blooms......
0763588009
Only

Address

Changanyikeni Kamba Road
Dar Es Salaam

Telephone

0763588009

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upendo Florist posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share