Nguvu kazi group

Nguvu kazi group mwisho wa kuliwa fedha zako na madalali wasio na ujuzi ni huu ,tuone nguvu kazi group tukusaidie.

๐Ÿ„ฝ๐Ÿ„พ๐Ÿ…ƒ๐Ÿ„ด๐Ÿ…‚    ๐Ÿ…‰๐Ÿ„ฐ        ๐Ÿ„ต๐Ÿ…„๐Ÿ„ฝ๐Ÿ„ณ๐Ÿ„ธ      ๐Ÿ„ผ๐Ÿ„ธ๐Ÿ„ฒ๐Ÿ„ท๐Ÿ„ฐ๐Ÿ„ด๐Ÿ„ป1. ๐™ข๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ช๐™Ÿ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™ž(a)Unapendekezwa kuanzia 50cm toka juu ya ardhi (GL)(b)๐™ข๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ฌ๐™–...
23/02/2023

๐Ÿ„ฝ๐Ÿ„พ๐Ÿ…ƒ๐Ÿ„ด๐Ÿ…‚ ๐Ÿ…‰๐Ÿ„ฐ ๐Ÿ„ต๐Ÿ…„๐Ÿ„ฝ๐Ÿ„ณ๐Ÿ„ธ ๐Ÿ„ผ๐Ÿ„ธ๐Ÿ„ฒ๐Ÿ„ท๐Ÿ„ฐ๐Ÿ„ด๐Ÿ„ป

1. ๐™ข๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ช๐™Ÿ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™ž
(a)Unapendekezwa kuanzia 50cm toka juu ya ardhi (GL)

(b)๐™ข๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ช๐™ข๐™—๐™– ๐™ ๐™ช๐™—๐™ฌ๐™– ๐™–๐™ง๐™™๐™ ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™–๐™ฌ๐™–๐™ž๐™™๐™–
Unaanzia 1๐™ข(3.3f) ๐™–๐™ช 90๐™˜๐™ข (3๐™›) toka GL (Ground Level)

(c)๐™ข๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ช๐™ข๐™—๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™œ๐™๐™ค๐™ง๐™ค๐™›๐™– ๐™ข๐™ฅ๐™–๐™ ๐™– 6 kwenye ardhi ya kawaida unaanzia1.5๐™ข mpaka 2๐™ข.( mmomonyoko, uzito wa jengo, aina ya udongo uzingatiwe.

(d) ๐™ข๐™จ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ข๐™–๐™Ÿ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™ค ๐™ข๐™–๐™ง๐™š๐™›๐™ช ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™š๐™ฃ๐™š๐™ค ๐™ก๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™˜๐™๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ข๐™ค๐™ฉ๐™ค ๐™ฎ๐™– ๐™–๐™ง๐™™๐™๐™ž ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™ฏ๐™ž๐™ฃ๐™œ๐™ž๐™ง๐™– ๐™ฉ๐™–๐™ฉ๐™– unafikia mpaka 3m (10 f)Kutoka GL.

(e) ๐™ช๐™Ÿ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™ž ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™ ๐™ช๐™—๐™š๐™—๐™– ๐™ช๐™ฏ๐™ž๐™ฉ๐™ค ๐™ช๐™ก๐™ž๐™ค๐™ฅ๐™ž๐™ฉ๐™ž๐™ก๐™ž๐™ฏ๐™– hufanywa kwa kusimika nguzo ardhini kiasi cha 5m (15f) mpaka 100m (300f) kutegemea na aina ya ardhi na tabia nchi.

2.๐Ÿ…ฝ๐Ÿ†ˆ๐Ÿ†„๐Ÿ…ผ๐Ÿ…ฑ๐Ÿ…ฐ ya kawaida ya makazi ina urefu wa 315Cm (3.15m)

3.๐Ÿ†ƒ๐Ÿ…พ๐Ÿ…ต๐Ÿ…ฐ๐Ÿ…ป๐Ÿ…ธ inayopendekezwa ujenzi wa nyumba kubwa ya makazi ni 150mm (6inch)

4.๐™ช๐™ฌ๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฌ๐™ค๐™ฌ๐™ค๐™ฉ๐™š kwenye jengo usikae kwenye kona kwa usalama wa nyumba.

5. ๐ค๐ข๐ค๐ฐ๐š๐ฉ๐š ๐œ๐ก๐š ๐ฎ๐ฐ๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐จ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฃ๐ž๐ง๐ ๐จ kiwe na upana walau ยผ ya urefu(Height) wa uwazi husika.(kuweka uimara wakati wa tetemeko, vimbunga, nk)

โˆš ยฐยฐยฐยฐ๐ฆ๐Ÿ๐š๐ง๐จ k**a dirisha lililo karibu na kona lina 1.5m basi kikwapa kitapaswa walau kuwa 1.5รท4= 0.375m saw na 37.5Cm

6.๐Ÿ…๐Ÿ„ฐ๐Ÿ…ƒ๐Ÿ„ธ๐Ÿ„พ ya kutengenezea tofali la msingi ni 1:10

7. ๐Ÿ…œ๐Ÿ…•๐Ÿ…ค๐Ÿ…š๐Ÿ…ž 1 wa Cement wa 50kg unatengeneza tofali isiyo na tundu 26-38.

8.๐ฎ๐ณ๐จ๐ž๐Ÿ๐ฎ ๐ฎ๐ฆ๐ž๐จ๐ง๐ฒ๐ž๐ฌ๐ก๐š ๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ฉ๐š๐š ๐ฒ๐š ๐Ÿ๐ฅ๐š๐ญ hupata changamoto zaidi wakati wa vimbunga kuliko yale yaliyoinuka.

9.๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…๐Ÿ…ข๐Ÿ…ฃ๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…˜ mzuri wa mwinuko wa paa ni kuanzia nyuzi 20ยฐ - 30ยฐ

10. ๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐š โˆ… ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฆ๐œ๐ก๐จ๐ซ๐จ mara nyingi
huashiria kipenyo yaani d (diameter)

11.๐จ๐ฏ๐ž๐ซ๐ฅ๐š๐ฉ (๐ฅ๐š๐ฉ ๐ฅ๐ž๐ง๐ ๐ญ๐ก) ๐ฒ๐š ๐ง๐จ๐ง๐๐จ
kwenye nguzo ni 50d.
Sawa na 50ร— diameter (kipenyo cha nondo husika).

โˆš ยฐยฐยฐยฐยฐMfano k**a nondo ni 12mm,
ni 50 ร— 12mm= 600mm= 60cm
Fanya hivyo kwa 10mm, 16mm, 20mm, 25mm

12. ๐Ÿ…—๐Ÿ…ž๐Ÿ…ž๐Ÿ…š ya nondo ni 9d (9ร—kipenyo)

13. ๐จ๐ฏ๐ž๐ซ๐ฅ๐š๐ฉ (๐ฅ๐š๐ฉ ๐ฅ๐ž๐ง๐ ๐ญ๐ก) kwenye ulalo(compressive zone)
kwenye beam ni 24d saw na 24 ร— kipenyo cha nondo husika. Mf(24ร—12mm)

14. ๐ง๐จ๐ง๐๐จ ๐ข๐ง๐š๐ฒ๐จ๐ฉ๐ข๐ง๐๐ฎ๐ค๐ข๐š ๐ค๐ข๐ฉ๐ž๐ง๐ฒ๐จ ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐Ÿ‘๐Ÿ”๐ฆ๐ฆ
Inapendekezwa ichomewe badala ya overlap kwenye nguzo.

15. ๐Ÿ…’๐Ÿ…”๐Ÿ…œ๐Ÿ…”๐Ÿ…๐Ÿ…ฃ inayotumika zaidi katika maeneo mengi ni ๐จ๐ซ๐๐ข๐ง๐š๐ซ๐ฒ ๐ฉ๐จ๐ญ๐ฅ๐š๐ง๐ ๐œ๐ž๐ฆ๐ž๐ง๐ญ (POC)

16. Cement inayotumika katika ujenzi wa maeneo yenye maji mengi ni ๐™ฅ๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™ก๐™–๐™ฃ๐™™ ๐™ฅ๐™ค๐™ฏ๐™ฏ๐™ค๐™ก๐™–๐™ฃ๐™– ๐™˜๐™š๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ (PPC)

17. ๐™ฌ๐™–๐™จ๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™ž ๐™ข๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฌ๐™– urefu wa ๐™ช๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™– wenye ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ฏ๐™ค
usiobeba chochote juu ni 2๐™ข.

18. ๐™ฃ๐™–๐™›๐™–๐™จ๐™ž ๐™ ๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™ค๐™ฃ๐™™๐™ค ๐™ฃ๐™– ๐™ช๐™จ๐™ค ๐™ฌ๐™– ๐™ฃ๐™Ÿ๐™š ๐™ฌ๐™– ๐™ฏ๐™š๐™œ๐™š
(๐™˜๐™ก๐™š๐™–๐™ง ๐™˜๐™ค๐™ซ๐™š๐™ง)
(a).vitako vya nguzo ardhini (footing)
ยฐยฐ50 mm
(b)Nguzo (column)ยฐยฐยฐ 40 mm
(c)BEAMS za kawaida 25 mm
(d)SLABS ya kawaida : 15 mm- 20mm
(e)ngazi ยฐยฐยฐ 15 mm

19. ๐Ÿ…š๐Ÿ…˜๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…–๐Ÿ…ž cha chini cha unene wa slab ni 125mm.

20. Ukubwa wa ๐™ฃ๐™ค๐™ฃ๐™™๐™ค zinazotumika kwenye slab usizidi โ…› ya unene wa slab.
๐™ข๐™›๐™–๐™ฃ๐™ค;-
Slab 150mm sawa na 150ร—โ…›=18ยพ= 18.75mm (isizid hapo).

21. ๐Ÿ„ฝ๐Ÿ„ถ๐Ÿ„ฐ๐Ÿ…‰๐Ÿ„ธ inapaswa iwe na unene
(a) ( Riser ) 150mm- 200m
(b)Upana wa sehemu ya kukanyaga ( tread) 250mm-300mm.

22. ๐Ÿ…š๐Ÿ…˜๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…–๐Ÿ…ž cha chini ukubwa wa nondo kinachotumika kwenye nguzo ni 12mm

23. ๐Ÿ…š๐Ÿ…˜๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…–๐Ÿ…ž cha chini idadi ya nondo kwenye nguzo ya duara ni nondo 6pcs.

24.๐Ÿ…š๐Ÿ…˜๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…–๐Ÿ…ž cha chini cha idadi ya nondo kwenye nguzo ya mraba 4pcs

25. ๐™ฃ๐™ค๐™ฃ๐™™๐™ค zisiungwe kwenye umbali (Zone) unaofanana au eneo moja.
Ikilazimika basi isiwe kwa zaidi ya 50%.

26.Grade za zege zinazotumika mara kwa mara ni
M5 = 1:4:8
M10= 1:3:6
M15= 1:2:4
M20= 1:1.5:3
M25= 1:1:2

27. ๐™จ๐™š๐™œ๐™ง๐™š๐™œ๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ (Kutengana kwa kokoto, cement na mchanga) hutokea kwa sababu hizi
(a) km zege ikimwagw kwa umbali wa zaidi ya 1.5m.
(b)zege inapozidi kiwango cha maji
๐™ข๐™–๐™™๐™๐™–๐™ง๐™– ni kupoteza ubora uliokusudiwa na kupasuka.

28. ๐™ช๐™Ÿ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ฉ๐™ค๐™›๐™–๐™ก๐™ž ๐™—๐™ก๐™ค๐™˜๐™ 
hautakiwi kuzidi kozi 8 kwa

siku.

29.๐Ÿ…ฆ๐Ÿ…

๐Ÿ…ข๐Ÿ…ฃ๐Ÿ…๐Ÿ…๐Ÿ…˜ wa slop ya kumwaga maji katika uwanja wa nyumba ni 1inch chini kwa kila 1 ft.

30.๐Ÿ…ค๐Ÿ…™๐Ÿ…”๐Ÿ…๐Ÿ…ฉ๐Ÿ…˜ imara wa nyumba unatumia nondo (2) 8mm kila baada ya kozi 5.

31.๐Ÿ…ฟ๐Ÿ…ป๐Ÿ…ฐ๐Ÿ†‚๐Ÿ†ƒ๐Ÿ…ด๐Ÿ† ya ukuta inatakiwa iwe na unene wa 12mm-20mm.

32. ๐Ÿ…ฟ๐Ÿ…ป๐Ÿ…ฐ๐Ÿ†‚๐Ÿ†ƒ๐Ÿ…ด๐Ÿ† ya dari inatakiw iwe 6mm

33.๐Ÿ…ฟ๐Ÿ…ป๐Ÿ…ฐ๐Ÿ†‚๐Ÿ†ƒ๐Ÿ…ด๐Ÿ† inapaswa kuwa katika hali ya unyevu (Curing) kwa muda wa siku 7.

34.๐Ÿ†๐Ÿ…ฐ๐Ÿ†ƒ๐Ÿ…ธ๐Ÿ…พ ya cement ya plaster
(a) 1:3 na1:4 ndani
(b)1:5 na 1:6 nje kwa hali ya hewa.

35.๐Ÿ†๐Ÿ…ฐ๐Ÿ†ƒ๐Ÿ…ธ๐Ÿ…พ ya cement ya kujengea ni
(a) 1:4 kwa 1:5 kuta
(b) 1:6-1:8 ujenzi mwepesi)
(c) 1:3 kwa 1:4 msingi ardhi kavu na maji.

36.Sukari inaweza kutumika km mchanganyiko wa nyongeza kufanya cement isigande haraka.
Kuna ratio maalum inayopendekezw.

37.๐™˜๐™š๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ inatakiwa itumike ndani ya miezi 3 tangu kutengenezwa.

38.๐ค๐ž๐ฆ๐ข๐ค๐š๐ฅ๐ข zilizomo kwenye cement zinawaka moto kwenye jotoridi 1400ยฐC

39.๐™˜๐™š๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ iwekwe 20cm kutoka kwenye sakafu na 30cm kutoka ukutani kuepuka unyevu.

40.๐Ÿ…ฝ๐Ÿ…ฐ๐Ÿ…ผ๐Ÿ…ฑ๐Ÿ…ฐ zinazoonyeshwa kwenye cement mfano 42.5 ni grade za kiwango cha kuhimili mgandamizo. (Compressive strength).zinapimwa kwa N/mmยฒ (N=kg-force 0.1

41. ๐Ÿ…ค๐Ÿ…™๐Ÿ…”๐Ÿ…๐Ÿ…ฉ๐Ÿ…˜ uliotumia Odinary Potland Cement
(OPC) unapaswa kumwagiwa maji kwa siku 10 ( Curing)

42.๐™˜๐™š๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ hufikia kiwango chake cha utimilifu katika kufanya kazi siku 28.

43.๐Ÿ…„๐Ÿ„ผ๐Ÿ…†๐Ÿ„ฐ๐Ÿ„ถ๐Ÿ„ธ๐Ÿ„ฐ๐Ÿ„น๐Ÿ„ธ (curing) katika maeneo ya joto huanza masaa 6 mpaka 24.

44.๐™ข๐™ช๐™™๐™– ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™›๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™– shuttering( formwork) kwenye ujenzi uliotumia zege
(a) ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™– za zege masaa 16-24
(b) ๐™ฃ๐™œ๐™ช๐™ฏ๐™ค (column) masaa 16 -24
(c) ๐™จ๐™ก๐™–๐™— ya kawaida 3 days
(d) ๐™—๐™š๐™–๐™ข๐™จ zinazofikia 4.5m Siku 7
(e) ๐™—๐™š๐™–๐™ข๐™จ zinazozidi 4.5m na archi zinazofikia 6m siku 14
(f) ๐™–๐™ง๐™˜๐™ zinazozidi urefu wa 6m siku 21.

45.๐™˜๐™ค๐™ก๐™ช๐™ข๐™ฃ (nguzo)hutumia zege ya grade M25 1:1:2

46.Kwa ujumla inapendekezwa umwagiliaji au ๐™˜๐™ช๐™ง๐™ž๐™ฃ๐™œ katika ujenzi usipungue siku 10 kwa siku za jua kali

Siku 7 kwa siku za kawaida hii ni kwa cement ya (OPC). Cement ya kawaida.

27/11/2013

Kwa maswala yanayohusu ushauri wa ujenzi,

kubadilisha mchoro,

kuchorewa michoro rahisi,

kiwanja kidogo unahitaji nyumba kubwa,

Peving blocks,

Ujenzi wa interblocks(tofali zisizotumia udongo)nk.

Contemporary,

Garden planning (bustani za kisasa)

Ujenzi wa tiles aina zote, mabble, mawe nk

Plaster, wall master, rangi,

Upauaji wa kisasa, suspended ceiling, ceiling za kawaida,na ceiling ya kudumu ya udongo.

Bomba na fitting zake zote

Tuulize nasi tutakwambia na mengine ambayo hayajatajwa hapo juu.

kuhusu gharama ni chini kuliko unavyofikiri, karibuni katika ujenzi poa na wa kisasa.

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Telephone

+255755072821

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nguvu kazi group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share