FUNDI Wa Finnishng Za Nyumba Na RANGI Nzuri

FUNDI Wa Finnishng Za Nyumba Na RANGI Nzuri Kupaka Rangi Kufunga Gpusam Kisasa N.k +255620504870 N.k+255753262348

19/06/2026

Niko saite Naombeni Kazi Nakufikia Popote Ulipo Tuwasiliane Nikufanyie Kazi Nzuri+255620504870/+255753262348

03/06/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Aruga Gilbert Nguru, Elirehema Ayo, Moses Ndema, Gabriel Nasson, Sadock Mwandunga

27/05/2026

Yahani Binadam Funakoheleke Siyo Sawa Jamaa Nanitafuta Fundi Uko wapi Kwa Sasa Nikamwambia Niko Tegeta Ety Njoo Mbezi Magufuli Panda Gari Magohe Mwisho nikahenda Nafika Anasema Kijana Wangu Gari Imemuharibikia Naomba Mtumie 15,000 Akija kukuleta nilipo Nitakurudishia Nikashutuka Nikamwambia Niko Na 4,000 kakata Sim Hakupokea Tena MAFUNDI Wenzangu Tuwe Makini Na Matepeli

27/05/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Abdallah Amissi, Abduly Karim Kim, Sundar Lugata, Jimm Soon, Wirriyamu Mwashuya

24/05/2026

Nitafute Nikufanyie Kazi Nzuri Niko Dar Esalaamu Kwa Sasa +255620504870

24/05/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Mzulwa Amiri Masasi, Silvanus Tesha, Leonard Makoye Gulaka, Koko Aisha, Irine Shiloli, Fakii Shekuamba, Wil Kip, Rahma Mvome, Hassan Kipruto, Nicolas Japhet, Musa Kilembeya

22/05/2026
22/05/2026

Nitafute Nikufanyie Kazi Nzuri Niko Saite 🧱

19/05/2026

Niko saite Mimi Ni Fundi Wa Finishings Za Majumbani Napatikana Dar Esalaamu Kwa Sasa

Address

Dar Es Salaam
TEGETA

Telephone

+255753262348

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FUNDI Wa Finnishng Za Nyumba Na RANGI Nzuri posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FUNDI Wa Finnishng Za Nyumba Na RANGI Nzuri:

Share