13/08/2019
Hey guyz I just wanna comfirm one thing that I am not fake, this is my page.
Watu wangu wa nguvu nataka niwahakikishie kitu kwanza mm sio muongo na sio fake hii ni page yangu na mm ndo ninayoiendesha hii page so kueni na imani na mm sipo humu kumuibia au kumtapeli mtu nipo humu kutangaza biashara zangu za mapochi mabeg na viatu kwa hiyo natumaini mtaniungisha