Masud wapenda swaga .com

03/02/2019

No 1no tomoro ma best

10/06/2016
Namsubir mke wang
10/06/2016

Namsubir mke wang

New password
10/06/2016

New password

10/06/2016

Mashaallah

Mashaallah
10/06/2016

Mashaallah

02/11/2014

ANA YA TABASAMU
Tabasamu ni dirisha linaloonesha nini kilichopo ndani ya moyo wa mtu, ni kitu kinachonyoosha kila kitu kuwa katika mstari ulioonyoka.
Ukiwa mtu wa kutabasamu unakuwa na marafiki wengi na ukiwa mtu wa ndita watu huanza kukukwepa.
Kila unapotabasamu kwa mtu yeyote ni ishara ya upendo, ni zawadi kwa yule mtu ni kitu kizuri.
Tabasamu ni kusema karibu, tabasamu ni uwezo ambao unaweza kuifanya siku ya giza kuwa siku ya nuru, huweza kufanya pasipo na upendo kuwa na upendo.MAANA YA TABASAMU?
Inagharimu misuli 17 tu kutabasamu na inakugharimu misuli 43 kuwa na ndita kwa nini ujizeeshe mapema?
Amani huanza kwa tabasamu!
Huwezi kuvaa ukapendeza bila kuvaa tabasamu, huwezi kuwa mrembo bila kuvaa tabasamu huwezi kuitwa beautiful one k**a hujavaa tabasamu huwezi kuitwa handsome k**a hujavaa tabasamu period!
Tafiti zinaonesha mtu anayetabasamu huwezi kuongeza miaka mingi katika maisha yake.
Hata hivyo watoto hujifunza kutabasamu kutoka kwa wazazi wao

21/07/2014

abari zenyu bana hi page kuanzia j5 itanza kupost season kali zaki korea mko tayari.

Nyieeeeeee mme nichosha
12/07/2014

Nyieeeeeee mme nichosha

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0713116148

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masud posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share