27/05/2026
Kuna michezo k**a vile;
1. Kula mbakishie baba
2. Tobo bao
3. Heshima ya ndege
4. Kitumbua
Hiyo ni baadhi tu ya michezo ambayo ilizalisha makomandoo wa utotoni...
Ongeza mingine unayoikumbuka