anili decor

anili decor Tunauza furniture mbalimbali za majumbani Kama vile makabati, Coffee Table, Dressing Table etc

24/05/2026

🔥 LUXURY LIVING ROOM SET – ANILI LUXURY STYLE 🔥
✨ Coffee table + TV stand ya kisasa yenye muonekano wa clean na premium 🤎
🪵 Finishing ya brown wood tone inaleta warmth, elegance na classy touch kwenye sebule yako ✨
📺 TV stand yenye storage nzuri kwa decor, vifaa vya TV na mpangilio safi wa kisasa 💯
☕ Coffee table ya unique design — simple, imara na inaongeza modern vibe ndani ya nyumba 🏡🔥
🌟 Combination hii inaleta balance ya luxury na comfort kwa sebule yako 😍
🧱 Muundo wa kisasa unaoendana perfect na decor mbalimbali za nyumbani
💖 Perfect kwa nyumba zinazopenda simplicity yenye hadhi ya juu ✨
🚚 Delivery Fast – Ubora Hakika
📍 Anili Decor – Tabata Aroma
📞 0746 189 329

20/05/2026

Simple lakini imejaa luxury 😮‍💨✨
✔️ Modern TV wall yenye hidden LED lights
✔️ Floating cabinet ya kisasa na finishing safi
✔️ Muonekano minimalist wenye class ya tofauti
✔️ Interior inayobadilisha sebule kuwa modern space 🏠🖤
Ubora unaonekana kabla hata TV haijawashwa 🔥✨
📍 Dar es Salaam
💰 Bei ni kutokana na ukubwa wa eneo lako
🚚 Tunakufata popote ulipo Tanzania kukufanyia interior design ya ndoto yako 🇹🇿
📞 Anili Luxury Furniture
074 618 9329

🔥 MODERN SHOE RACK – ANILI LUXURY STYLE 🔥✨ Muundo wa slats design unaoleta mwonekano wa kisasa na premium ndani ya nyumb...
19/05/2026

🔥 MODERN SHOE RACK – ANILI LUXURY STYLE 🔥
✨ Muundo wa slats design unaoleta mwonekano wa kisasa na premium ndani ya nyumba 🤎
👞 Shoe rack imara yenye nafasi kubwa ya kupanga viatu vyako kwa usafi na mpangilio wa hali ya juu 💯
🪵 Finishing ya dark walnut inaleta elegance na luxury touch inayovutia mara moja ✨
🏡 Perfect kwa entrance, corridor au bedroom — inaweka nyumba yako ikiwa clean, smart & classy 😍
🌟 Design yake ya unique inafanya decor ya nyumbani ionekane modern zaidi bila kuchukua space kubwa 🔥
🚚 Delivery Fast – Ubora Hakika
📍 Anili Decor – Tabata Aroma
📞 0746 189 329
# HomeDecor LuxuryFurniture

19/05/2026

Luxury ambayo inaonekana kabla hata hujaingia ndani ✨🖤
✔️ TV wall ya kisasa yenye hidden LED lights
✔️ Mirror design ya kifahari inayoongeza elegance ya nyumba
✔️ Floating cabinet na finishing safi ya premium
✔️ Muonekano simple lakini wenye class ya tofauti 🏠🔥
Interior nzuri sio mapambo tu… ni feeling ya nyumba yako 😮‍💨✨
📍 Dar es Salaam
💰 Bei ni kutokana na ukubwa wa eneo lako
🚚 Tunakufata popote ulipo Tanzania kukufanyia interior design ya ndoto yako 🇹🇿
📞 Anili Luxury Furniture
074 618 9329

18/05/2026

Modern TV wall yenye simplicity ya kifahari ✨🖤
✔️ LED lights za kuvutia na muonekano wa luxury
✔️ Storage shelves za kisasa
✔️ Floating cabinet yenye finishing safi
✔️ Design inayoongeza hadhi ya sebule yako 🏠🔥
Muonekano simple lakini wenye class ya tofauti 😮‍💨✨
📍 Dar es Salaam
💰 Bei ni kutokana na ukubwa wa eneo lako
🚚 Tunakufata popote ulipo Tanzania kukufanyia interior design ya ndoto yako 🇹🇿
📞 Anili Luxury Furniture
074 618 9329

18/05/2026

Sio kila TV wall ni luxury… nyingine ni masterpiece ✨🖤
✔️ Modern wall panel yenye mwonekano wa kifahari
✔️ Hidden LED lights zinazoipa sebule utulivu wa kipekee
✔️ Floating cabinet ya kisasa na finishing safi
✔️ Design inayobadilisha nyumba kuwa hotel standard 🏠🔥
Ukiona hivi ujue interior imeguswa na watu wanaojua kazi 😮‍💨✨
📍 Dar es Salaam(tabata shule)
💰 Bei ni kutokana na ukubwa wa eneo lako
🚚 Tunakufata popote ulipo Tanzania kukufanyia interior design ya ndoto yako 🇹🇿
📞 Anili Luxury Furniture
074 618 9329

10/05/2026

Wardrobe ya kisasa + study desk ✨
Muonekano safi na mpangilio wa kisasa unaokupa space ya kuhifadhi na kufanya kazi kwa utulivu.
✔️ Wardrobe kubwa na imara
✔️ Study desk yenye drawers
✔️ Open shelves za mpangilio mzuri
✔️ Finishing ya kisasa na maridadi
Tunakufata popote ulipo Tanzania kukufanyia design ya interior 🏠🔥
📍 Tunapatikana Tabata Aroma
🚚 Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania 🇹🇿
📞 Anili Luxury Furniture
074 618 9329

09/05/2026

Minimalist luxury at its best ✨🖤
TV wall panel ya kisasa yenye muonekano safi na LED lighting ya kuvutia, inayoipa sebule yako hali ya utulivu na elegance ya hali ya juu.
✔️ Clean modern design
✔️ Hidden LED lighting
✔️ Floating cabinet ya kisasa
✔️ Premium finishing
Chagua simplicity yenye hadhi kubwa 🏠🔥
📍 Tunapatikana Tabata Aroma
🚚 Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania 🇹🇿
📞 Anili Luxury Furniture
074 618 9329

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when anili decor posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category