SUMAI KAZI

SUMAI KAZI DEALING WITH

SECURITY SYSTEMS

01/12/2025

Viatu visiwe mzigo kwako, De La Renta Laundry tunahakikisha umevaa kitu safi chenye manukato.

Tunayo Huduma safi ya kufua Viatu kwa gharama nafuu sana.

Wasiliana nasi
0718771122

27/11/2025

Kwa garama nafuu sana, unaokoa muda.

Tunapatikana Kisota, Kigamboni - DSM na huduma zetu zinazingatia ubora wa hali ya juu.

Wasiliana nasi:
0718 771122

Weekend Hii itakuwa Burdani...!Sehemu sahihi ya kupumzika ni The Garage Pub, Hapa katika Moja na Mbili, baridi na Moto,K...
21/11/2025

Weekend Hii itakuwa Burdani...!

Sehemu sahihi ya kupumzika ni The Garage Pub, Hapa katika Moja na Mbili, baridi na Moto,

Karibuni sana
Wasiliana nasi
0750292222

Ndugu Jamaa na Marafiki Huduma zetu zimerejea k**a kawaida Baada ya kupita katika kipindi cha Lock-Down.Sasa huduma zetu...
07/11/2025

Ndugu Jamaa na Marafiki Huduma zetu zimerejea k**a kawaida Baada ya kupita katika kipindi cha Lock-Down.

Sasa huduma zetu katika kampuni za:-
1. JIQT Security Services
2. De la Renta Laundry and Cleaning Services
3. JIM Microfinance
4. Kazi Corp Brokers
5. Good Vibes and Entatainment
6. The Garage Pub

Karibuni sana, Fatilia Mitandao yetu ya Kijamii kujua huduma zetu au

Wasiliana nasi
JIQT | JIM | Kazi Corp
0717 744433

De la Renta
0718 771122

The Garage Pub
0750 292222

Ukiwa unataka kufanya muamala wowote ule, Pata nafasi pita ofisini kwetu.JIM Microfinance tunashighulika na miamala yote...
16/10/2025

Ukiwa unataka kufanya muamala wowote ule, Pata nafasi pita ofisini kwetu.

JIM Microfinance tunashighulika na miamala yote ya fedha, Kuwepa Pesa | Kutoa Pesa | Kulipa Bills | Malipo ya Faini | Malipo ya Serikali

Wasiliana nasi
0717744433

Tunapatikana
Kisota - Kigamboni
Happy Oil - Filling Station

Tunawatakia Kumbukizi njema za kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere.Tushirikiane kutunza kujenga Taifa kupitia ...
14/10/2025

Tunawatakia Kumbukizi njema za kifo cha baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere.

Tushirikiane kutunza kujenga Taifa kupitia kampuni zetu za JIQT Security systemes, De la Renta Laundry & Dry Cleaner, JIM Microfinance na The Garage PubπŸ”₯πŸ”₯

JIQT TANZANIA LTD HUDUMA TUNAZOTOA: - 1. Mifumo ya Usalama/Ulinziβœ… Uzio/fensi za Umeme βœ… Alarm za wizi na Alarm za Moto ...
14/10/2025

JIQT TANZANIA LTD

HUDUMA TUNAZOTOA: -

1. Mifumo ya Usalama/Ulinzi

βœ… Uzio/fensi za Umeme
βœ… Alarm za wizi na Alarm za Moto
βœ… Kamera za CCTV
βœ… Mifumo ya Udhibiti wa kupita (kadi, finger print, uso,jicho na pin/password)
βœ… Mifumo ya kufatilia gari au simu zinazoibiwa/kupotea

2. Huduma za mawasiliano

βœ… Simu za ndani zenye mfumo moja

3. Ufungaji wa Umeme na marekebisho (Wirings) na kufunga taa za sola

4. Viyoyozi (A/C)

5. Tunafunga mageti ya umeme kwa kutumia rimoti pia tunatengeneza na kurekebisha

6. Tunatengeneza vivuli vya kuegesha magari

7. Tunafunga madirisha, milango, makabati ya vioo (aluminium)

8. Tunatoa huduma za kuchomelea vifaa mbalimbali

Mawasiliano:
Whatsapp/piga 0717 744433

Instagram:

Tunapatikana:

AB PLAZA
KISOTA- KIGAMBONI
DAR ES SALAAM

19/09/2025

Its time to grab your offer, hakikisha umeimarisha ulinzi.πŸ”₯πŸ”₯

Huduma zinaendelea k**a kawaida, Sasa fanya malipo ya Bima, Bill za maji, Umeme, Faini za barabarani na JIM Microfinance...
17/09/2025

Huduma zinaendelea k**a kawaida, Sasa fanya malipo ya Bima, Bill za maji, Umeme, Faini za barabarani na JIM Microfinance.

Hii ni zaidi ya Huduma.

Unadhani uliona maneno mangapi hapo?? Haya ni majibu ya challenge yetu
10/09/2025

Unadhani uliona maneno mangapi hapo?? Haya ni majibu ya challenge yetu

Address

Ungindoni Kigamboni
Dar Es Salaam

Telephone

+255717744433

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SUMAI KAZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SUMAI KAZI:

Share