24/10/2025
RAMANI YA NYUMBA YA MAKAZI
👉🏿VYUMBA 3️⃣ 🔥🔥
Piga/WhatsApp +255744375247
Taarifa 👇🏿
➡Chumba cha Masta Kikubwa 1⃣ (Walk-in closet + Jaccuzi)
➡Vyumba vya Selfu vikubwa 2⃣
➡Sebule kubwa iliyoshikana na
➡️Dining.
➡Jiko
➡️Stoo ya jiko
➡️Choo watu wote (public)
Mahitaji & Makadirio👇🏿
➡Eneo linalohitajika ni mita 20×20 na kuendelea.
➡️Cement 270
➡️Kokoto 8.8 Cubic Metre ➡️Mchaga 42.6 Cubic Metre
➡️Mawe 43.3 Cubic Metre
➡️Matofali 3800 (Tofali za Block eneo la Tambarare) ➡️Nondo 768.2 Kg ➡️Binding Wire 3.2 Kg
➡️Misumari 70 kg
➡️Mbao 268.52m²
➡️Bati 69
KUMBUKA: Mahitaji & makadirio👆🏾yataifikisha Nyumba kwenye hatua za Plasta, kupaua & Rafu chini bila Finishing.
Finishing utaweka kuendana na mahitaji yako.
Finishing hujumuisha vitu k**a milango, madirisha, gypsum etc
WEKA BANDO:
Kwa Mawasiliano, maswali & Maelezo Zaidi
Piga au tuandikie WhatsApp +255744375247
USISAHAU: K**a unahitaji michoro ya Ramani ya nyumba tofauti, ambayo ungependa iandaliwe kuendana na mahitaji yako tufahamishe jinsi gani tunaweza kukusaidia.
Vigezo Kuzingatiwa
MTAG RAFIKI anaependa vitu vizuri.
TUFUATILIE NA WEWE PIA UJENGE NYUMBA YA NDOTO ZAKO!!.....