Saad Mgendi

Saad Mgendi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Saad Mgendi, Kitchen & Bath Contractor, Dar es Salaam.

19/04/2025

1020 likes, 38 comments. Check out Mchina wa bongo’s video.

10/04/2025

Watch, follow, and discover more trending content.

30/05/2018

KUNA MAMBO MENGI YANATUTOKEA ILA KUNA YAPO YAKUPASA
LEAVE THEM AND LET GO ASTRAY .....
1. Mtu asiye sahihi huleta mahangaiko na mateso.
2. Mtu asiye sahihi huleta majuto katika maisha.
3. Mtu asiye sahihi huleta umasikini, taabu na maumivu.
4. Mtu asiye sahihi huleta magonjwa ya moyo.
5. Mtu asiye sahihi huleta roho ya kujichukia.
6. Mtu asiye sahihi huvuta roho ya mauti ndani ya mtu.
7. Mtu asiye sahihi huleta kilio kisichoisha ndani ya moyo wa mtu.
8. Mtu asiye sahihi huleta kudharauliwa na matukano katika maisha yako.
9. Mtu asiye sahihi huharibu heshima yako katika jamii.
10. Mtu saiye sahihi huleta ogomvi usioisha katika familia.
11. Mtu asiye sahihi hana toba ya kweli katika maisha yake.
12. Mtu asiye sahihi anauwezo wa kukufanya uchukie kupenda na kupendwa katika maisha yako.
13. Mtu asiye sahihi huleta ugumu wa maisha.
14. Mtu asiye sahihi hupoteza maana yako ya kuishi na kusudi lako.
15. Mtu asiye sahihi huondoa furaha na amani katika maisha yako.
16. Mtu asiye sahihi anaharibu mtazamo wako wa kesho (future).
17. Mtu asiye sahihi anakukosesha na watu walio sahihi maana ana roho za uongo, fitina, unafiki,wachoyo na rafiki wa maadui zako – mwangalie Delila akiwa na urafiki na wafilisti ambao walikuwa maadui za Samsoni Yuda Iskarioti anakuwa na urafiki na watu wenye uadui na Bwana Yesu.
18. Mtu asiye sahihi anakutenga na Mungu wako.
19. Mtu asiye sahihi anaweza kukufanya kupoteza uaminifu wako katika jamii na kufanya mambo yasiyostahili k**a kutoka nje ya ndoa, kutoa talaka na kuwachukia watu jinsia Fulani k**a wanaume au wanawake.
20. Mtu asiye sahihi analeta maangaiko na mateso katika jamii
21. Mtu asiye sahihi huleta sifa mbaya katika mazingira ya sifa njema.
22. Mtu asiye sahihi huleta mipasuko na migongano katika familia.
23. Mtu asiye sahihi hukwamisha ndoto za watu kutimia.
24. Mtu asiye sahihi huharibu utaratibu wa maisha yako.
25. Mtu asiye sahihi huvuta hofu, woga na mashaka katika eneo zima la kupenda na kupendwa katika maisha yako.
Haya mambo yapo, na yamkini hata wewe yamekukuta, jenga tabia ya kuongea na Mungu wakati wote, ipo siku atafanya njia pasipo na njia,

Nakutakia maandalizi mema ya kumwambia Mungu kutufunulia meng zaid ya haya.

New one
28/04/2018

New one

14/04/2018

Nimesoma hii na nikalia
sana na nikaona
aibu kwa Allah k**a
sitasambaza kwa
wenzangu.
Maana ina faida na ajeer
nyingi. Hii hadeeth qudsy
ukisoma
utasikia tumbo likicheza
peke yake
sababu yaonesha vipi
ukubwa wa Allah.
Subhana hu Wataala.
Amesema, "Ya ibn
Adam, nimekuumba kwenye
tumbo la
mama yako. Nilifinika uso
wako ili usiumie
na tumbo. Nikawacha uso
wako ulekee
nyuma ili usisikie harufu ya
chakula
kikiingia ktk tumbo la mama
yako.
Nilikuwekea mito kwa
upande wa kulia
na kushoto, sababu kulia
kuna maini
na kushoto kuna pancreas.
Nilikufundisha kukaa na
kusimama
ukiwa ndani ya tumbo la
mama yako. Kuna
mwingine anaweza kufanya
hivyo?
Ulipokuwa tayari,
nikaamrisha Malaika
wakati wa kutoka tumboni
umefika. Ulizaliwa huna
meno ya kula,
mikono haina nguvu wala
miguu
haiwezi kutafuta chakula.
Nikalainisha
mishipa miwili ya kifua cha
mama yako
ili upate maziwa. Wakati wa
msimu wa
baridi maziwa yako na joto,
na msimu
wa joto yako baridi.
Niliweka mapenzi
kwa wazazi wako kuwa
hawali chakula
mpaka wewe ushibe.
Hawalali mpaka
wewe ulale. Sasa kwavile
umekuwa na una
nguvu ndio unaniasi na
kufanya madhambi?
Huoni haya kwa
unaoyafanya?
Ukiniomba nakupa, ukiniita
naitika,
ukiniomba msamaha
nakusamehe.
Sambaza ujumbe huu hata
k**a ni kws
mtu mmoja. Rasul Salallah Aleih Wasalaam
amesema;
''Munitangazie hata k**a ni
ayah
moja''. Ni ajabu gani Ya ibn
Adam,
ukizaliwa waadhiniwa
kwenye masikio,
lakini huswaliwi. Ukifa
utaswaliwa bila
kuadhiniwa.
Ukizaliwa hujuwi nani
alikutoa kutoka kwa tumbo
la mama yako.
Ukifa hujuwi nani atakuweka
kaburini.
Ukizaliwa ulioshwa na
kusafishwa, ukifa
utaoshwa na kusafishwa.
Ukizaliwa
hujuwi nani alikufurahaikia
na ukifa
hujuwi nani atahuzunika na
kulia. Ulipokuwa ktk
tumbo la mama yako
ulikuwa kwenye
dhiki na giza. Ukifa kwenye
kaburi
utakuwa kwenye dhiki na
giza.
Ulipozaliwa ulifinikwa na
kustiriwa na
ukifa utakafiniwa na
kustiriwa. Ukiwa
mkubwa utaulizwa na watu
shahada za
masomo na ujuzi wako.
Ukifa Malaika
watakuuliza amali yako na
ulivyo
jiandaa na Akhera. Sema
kutoka kwa
moyo wako '' Ashhadu an
Lailaha ila
Allah, wa Ashhadu ana
Muhammad
Rasulu Allah ''. Nina hakika
ukisoma
utasambaza kwa unao
wapenda. Soma
surah al Ikhlaas '' Qul huwa
Allahu
Ahaad, Allahu Swamaad,
Lam Ya Leed
wa Lam Yulaad, wa Lam Ya
Qun Lahu
Qufuwan Ahaad ''. Wajuwa
umesoma
thuluthi ya Quraan?
Sambaza uone
watu wangapi watasoma
thuluthi ya
Quraan kwa ajili yako.
Usijikhini kupata
hizi ajeer. Sambaza hata
k**a una
shughuli nyingi. Yastahili
kusomwa.

share
K**a wampenda Allah

26/03/2018

Adui zako daima huwa na jicho la tatu la kuyaona mema yajayo mbele yako hata kabda hujayafikiria wala kuyakaribia.Wapende adui zako maana unawahitaji kukupa ishara ya mambo mema na makubwa yajayo mbele yako usiyoweza kuyaona kwa macho yako mawili.......

Hata ukicheza kwenye maji maadui wako watasema unawarushia vumbi.. Kikubwa ni kuishi K**a kichujio unachuja kwa kila uta...
10/02/2018

Hata ukicheza kwenye maji maadui wako watasema unawarushia vumbi.. Kikubwa ni kuishi K**a kichujio unachuja kwa kila utakachoambiwa kwa jema lihifadh yale mabaya Yapotezee wala yasikuumize moyo.. Wala Usiangaike kuwarushia mbwa wakubwekeao mawe Sana sn watakuchelewesha safari ya mafanikio

Wakati mwingine Mwenyezi Mungu hukupa subra ili kushuhudia mioyo michafu na wenye roho mbaya unaoishi nao karibu
29/11/2017

Wakati mwingine Mwenyezi Mungu hukupa subra ili kushuhudia mioyo michafu na wenye roho mbaya unaoishi nao karibu

26/11/2017

K**a wewe ni mwanamke na haujaolewa na upo kwenye mauhusiano na mwanaume ambaye haujafunga naye ndoa basi zingatia haya walau, yanaweza kukusaidia na kukupa nuru nzuri ya ndoa bora yenye tija katika maisha yako ya mahusiano.

Daima chagua mwanaume bora kwa kutizama utashi wake na mawazo yake chanya, mwanaume bora ni yule aliyekuzidi utashi, tabia nzuri pamoja hekima na busara na mwenye mapenzi ya dhati kwako.

Mwanaume anayekufaa ni yule anayekujali na kukuheshimu, mwanaume bora ni yule anayekupa leo mawazo ya kesho, mwanaume anayekufaa ni yule anayekufuta machozi na asiyekuliza kila siku, na aonapo chozi lako basi huwa anaumiaa sana.

Dada yangu tafuta mwanaume ambaye ni kichwa ili wewe uwe shingo sababu hakuna kichwa pasipo shingo.

Tengeneza mwanaume wako bora, anza naye kwenye maisha ya chini mkipeana faraja na matumaini ya kutengeneza ndoa bora na yenye mafanikio ya kipesa, na mauhisiano yenye afya yaliyo na mapenzi matamu na bora, usipende wanaume wa wanawake wenzio mtengeneze handsome wako.

Dada yangu achana na mabrothermen wanaopaka poda, wanaotembea na selfiestick hawana tija, mwanaume bora havai mlegezo (sag trouser).

Mwanaume bora hata k**a hana pesa daima huwa na hazina ya mawazo na ndoto zenye matumaini ya kuwa na future nzuri baadae.

Achana na wanaume maarufu, wengi wao hawana mapenzi ya dhati japo si wote. Wanapenda kuwatumia wanawake kwa tamaa zao za mwili.

Dada yangu mimi nakupenda na natamani uwe na ndoa bora na uchague mpenzi bora, mpende mpenzi wako kwa moyo wote achana na zile kauli za wanaume wote wanafana.

Muombe Mungu akupe mume bora na wewe uwe mke bora sababu mke mwenye mapenzi ya dhati huwa anabeba baraka za mafanikio ya mume wake ... Tafakari mauhusiano yako yapoje ....!

Wakati ni sasa sio kesho acha kuwa na idadi kubwa ya wanaume, chagua mwanaume wako mmoja na aliye bora, pia achana na utamaduni wa kuchati na ma ex wako .

Tengeneza mume wako bora achana na wanaume wadhaifu na wasio na tija kwako chagua mwanaume bora kwa sifa za ndani na sio kwa ubora wa nje.

You know what...!?
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
"If a girl ever steals your man, there’s no better revenge than letting her keep him. Real men can’t be stolen."

Share

Like Page

Keep Your Tongue Moist With Remembrance of Allah
13/09/2017

Keep Your Tongue Moist With Remembrance of Allah

11/09/2017

👉Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea.

👉Mbwa hawa waliwatesa watumwa kwa kuwararua na meno yao makali! Wakati mwingine watumwa waliokutana na adhabu hii walipoteza uhai.

👉Siku moja mtumwa aliyemtumikia mfalme kwa miaka kumi alitoa wazo baya ambalo halikumpendeza mfalme, ikaamriwa ak**atwe na kutupwa katika banda la mbwa.

👉Mtumwa alinung'unika na kusema :"nimekutumikia kwa miaka 10, na leo wanitenda hivi? Naomba unipe walau siku 10 kabla hujanitupa bandani! " Mfalme akakubali.

👉Katika siku hizo 10, mtumwa alimfuata mlinzi wa banda la mbwa na kumuomba ampe nafasi ya kuwahudumia mbwa wale. Mlinzi alistaajabu ila akakubali. Mara moja mtumwa akaanza kazi ya kuwapa mbwa chakula, kuwaogesha na kila aina ya faraja ambazo wanyama huhitaji.

👉Siku 10 zikaisha, mfalme akaamuru mtumwa atupwe bandani kutumikia adhabu yake.

👉Hilo likafanyika kwa haraka, lakini cha kushangaza mbwa walianza kulamba miguu ya mtumwa na si kumrarua k**a ilivyotegemewa. Mfalme akastaajabu, akasema:"Nini kimewasibu mbwa wangu? ",.

👉Mtumwa akajibu :" nimewahudumia mbwa hawa kwa siku 10 tu na hawajasahau fadhila zangu.
Lakini kwa upande wako nimekutumikia miaka 10, hata hivyo umesahau yote kwa sababu ya kosa moja tu! " Kufikia hapo mfalme akatambua kosa lake na akaamuru mtumwa aachiwe huru.

👉Katika maisha kuna watu husahau mambo mema waliyotendewa na wengine pindi wakikosewa.

👉Kamwe usiruhusu historia nzuri kufutika sababu ya jambo moja usilolipenda! Tembea katika msamaha kila wakati.

Mungu Awabariki wote.

Umejifunza nini? Ukipenda unaweza kushare ili wengi wapate kujifunza

09/09/2017

"Nothing turns on this" (Part 3)
__What do you do if you find out someone paid a bribe?

Let me tell you what I did... We lost a deal because some senior state government officials wanted almost $10m in bribes. They were quite clear that if we did not pay we would be thrown off the deal. I refused to pay! So we were thrown off the deal.

Soon they approached a big international competitor for exactly the same deal. It was announced with a lot of fanfare. I knew there was no way that deal could have been concluded without those bribes being paid. I put a team on it to collect evidence... It was a deep, deep dive! (I had all the information including the fancy corporate structures they had put in place to make it look legitimate.)

A few months later I went nuclear: There is a law in the United States called the Foreign Corrupt Practices Act ("FCPA"). If you mention that to the directors of any major global corporation, people will start shaking, if they have been misbehaving! (The United Kingdom has a similar law called the British Anti-Bribery Act.)

I wrote a letter to the US Justice Department and offered my evidence, including details about the demands for the bribes, dates, times, and records. They took quite a while to get back to me, and when they did it was a short letter simply thanking me for the report. Then one day a friend who worked for this big international company called: "All hell has broken loose here! The US 'Feds' have apparently opened a full investigation on that issue!"
. .Next week I'll share with you a few more highlights (and lowlights) on this matter. When it comes to stopping corruption: 'sFutureTurnsOnThis!

If you are a civil servant or minister and you are fond of asking for bribes, particularly from international companies, let me warn you that laws are really being tightened globally. You and the company paying you bribes can end up being picked up by Interpol next time you are traveling somewhere! It happened to someone I know.

I know a few guys in hiding who cannot step outside their countries anymore because they are under FCPA investigation. The days of Swiss bank accounts and lavish spending abroad are coming to a close. All it needs is some "lowly" civil servant to pass on some key documents and you are finished, my friend.

Nothing harms our countries more than this kind of high-level corruption. It's not hard to do what I did. And let me tell you, people were very keen to pass on information to me. As a "whistleblower," you will be protected if you approach such organizations, but you must have real evidence and not be trying to settle your own scores, otherwise you will be the one in trouble.

!

To be continued...

Image credit: I ran into TD Jakes in Ghana yesterday!

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Saad Mgendi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share