03/12/2020
Sherehe nzuri inahitaji maandalizi mazuri na watu wanaozingatia ubora katika kazi zao.
▪▪Twambie nini unataka viwepo siku ya siku yako ya sherehe nasi tutakuandalia yote uyatakayo kutoka sehemu zinazozingatia ubora wa hali ya juu.
▪▪Kwa wewe uliye na rafiki,ndugu au jirani yako na uko mbali na Dodoma na unahitaji kumsurprise basi huitaji kupata shida.
Wasiliana nasi kwa simu zetu za ofisi 0758 489 488 / 0735 489 488........
.
.................