luxurylivingtz

luxurylivingtz Home Improvement

We Renovated this beautiful bathroom..Shukrani saana kwa mteja wetu kwa kutuamini na kutuvumilia.. Tulikupa muda mchache...
23/05/2021

We Renovated this beautiful bathroom..
Shukrani saana kwa mteja wetu kwa kutuamini na kutuvumilia.. Tulikupa muda mchache lakini tumetumia muda mwingi kumaliza, Asante kwa kufurahia kazi tulio kuifanyia.

WE do what we say we can do with ❤️💯.
Call us /Text /WhatsApp 0746003344












21/05/2021

Asante sana Mteja wetu kwa kutuamini... Tutahakikisha tunakupa kitu roho inapenda🙏🏿

Tumetembelea site 4 kwa Jana. Hatukuweza kuchukua picha na videos sehemu zote...

Sema Dodoma Asanteni kwa kutuamini na kututhamini 🙏🙏🙏

Call /Text /WhatsApp 0746003344

16/05/2021

I LOOOOVE what I do🙏🙏🙏
Turkish cabinets zimenyookaa, na a small wine cooler on the side🙌🙌... I Love to make your house beautiful.. Asante sana mteja wetu kwa kutuamini na kututhamini tuko hapa kwa ajili yenu nyinyiii.

Call us 0746003344 to book for a site visit.

Ndio tunaweka kabati za mteja wetu 🙏 Asante sana wateja wetu kwa kuendelea kutuamini na kututhamini   iko kwa ajili yenu...
16/05/2021

Ndio tunaweka kabati za mteja wetu 🙏 Asante sana wateja wetu kwa kuendelea kutuamini na kututhamini iko kwa ajili yenu..

Tumefanya gypsum na kitchen cabinets tuu❤️❤️

Tutakuwa Dodoma tena kuanzia next week... DM us k**a utahitaji huduma zetu kwa wakazi wa Dodoma na Morogoro.Call us 0746...
15/05/2021

Tutakuwa Dodoma tena kuanzia next week... DM us k**a utahitaji huduma zetu kwa wakazi wa Dodoma na Morogoro.

Call us 0746003344
WhatsApp us 0746003344

13/05/2021

I can't wait to see the Aftermath of this beautiful house, one of my FAV projects 💃💃

Asante sana Dadangu/Mteja wangu kwa kuzidi kutuamini🙏🙏

Kwa mahitaji ya huduma za finishing zote pamoja na ujenzi wasiliana nasi










Call /Text /WhatsApp 0746003344

Soon itakamilikaa... Asante sana mteja wetu wa Goba kwa kutuamini 🙏🙏Follow our backup account
11/05/2021

Soon itakamilikaa... Asante sana mteja wetu wa Goba kwa kutuamini 🙏🙏

Follow our backup account

My FAV thing to do🔥🔥Shukrani saana kwa wateja wetu woote kwa kuzidi kutuamini na tunahakikisha kazi zenu mnazipata kwa m...
11/05/2021

My FAV thing to do🔥🔥

Shukrani saana kwa wateja wetu woote kwa kuzidi kutuamini na tunahakikisha kazi zenu mnazipata kwa muda tuliokubaliana.

Call /Text /WhatsApp 0746003344

Pia usisahau ku follow our backup account

11/05/2021

Kazi zikiendelea kwa umakini zaidi.
Asante sana mteja wetu kwa kutuamini na kututhamini. Hii renovation itakuwa balaaaa👌 I can't wait

Follow our backup account

Ukiona mpaka John kakaa chini ujue anafanya jambo🔥🔥👌Follow our backup account Tunafanya kazi zoote za            Call /T...
11/05/2021

Ukiona mpaka John kakaa chini ujue anafanya jambo🔥🔥👌

Follow our backup account

Tunafanya kazi zoote za












Call /Text /WhatsApp 0746003344

We can design your home🏡Wainscoting on point 👌Staircase on 🔥🔥Shukrani saana mteja wetu kwa kutuamini na picha ni 🔥🔥🔥
11/05/2021

We can design your home🏡
Wainscoting on point 👌
Staircase on 🔥🔥

Shukrani saana mteja wetu kwa kutuamini na picha ni 🔥🔥🔥

Bado tupo site tunafanya kazi ya mteja wetu 🙏🙏 Asante sana kwa kutuamini.
11/05/2021

Bado tupo site tunafanya kazi ya mteja wetu 🙏🙏 Asante sana kwa kutuamini.

Address

Iyumbu
Ihumwa

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when luxurylivingtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share