Kikundi cha Ujenzi Bora

Kikundi cha Ujenzi Bora Tunajishughurisha na shughuri zote za ujenzi kuanzia ngazi ya uandaaji wa ramani hadi hatua ya mwisho ya ujenzi kwa gharama nafuu sana.

Kikundi cha ujenzi bora, Kinajishugurisha na shughuri zote za ujenzi kuanzia ngazi ya uandaaji wa ramani, uandaaji wa eneo la ujenzi hadi hatua ya mwisho ya finishing. Kikundi kinauwezo wa kukujengea nyumba yako kuanzia ngazi ya awali hadi kupaua bila kuchukua advance au malipo ya awali, nikiwa na maana hatuhitaji utoe pesa ya tofari k**a hauna tofari site, wala pesa yamafundi hadi pale nyumba yak

o itakapo fikia kiwango cha upauaji, hili linafanyika kwa mashariti nafuu sana tena sana. Karibu ofisi zetu zilizopo kwenye makutano ya barabara inayoenda mbuyula, inayotoka msimbazi na inayotoka bomani/CRDB ili uweze kupata maelezo kwa kina au piga simu namba 0757 558 211 au 0752 180 284. Pamoja tunaweza fanikisha ishi kwenye nyumba bora na sio bora nyumba, wahi sasa wateja 10 wa kwanza wanaofa yao inawangoja.

Hata mbuyu ulianza K**a mchicha,  Nikiwa site Nakagua ujenzi wa vyoo katika shule ya msingi Kitanda. Bado tunakaribisha ...
15/07/2017

Hata mbuyu ulianza K**a mchicha, Nikiwa site Nakagua ujenzi wa vyoo katika shule ya msingi Kitanda. Bado tunakaribisha tenda promotion Bado inaendelea press order yako mapema.

Coming soon, coming soon,
26/05/2017

Coming soon, coming soon,

25/05/2017

Coming soon, Coming soon, Coming Soon

Address

Mbuyula/Mbinga
Mbinga

Telephone

0757 558 211

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kikundi cha Ujenzi Bora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share