19/04/2026
Hivi ndivyo tunavyoweka alama (label) ya aina ya miche Kwa mteja wetu,
Hasa Kwa wateja wanaochukua Miche mchanganyiko,
Humrahisishia mteja kuweka kumbukumbu ya aina ya mche aliochukua.
Kwa mahitaji ya Miche Bora ya kisasa
Tupigie: 0766856431
IKAM Integrated Farms tupo Kwa ajili Yako, popote tunakufikia nje na ndani ya Tanzania.