JAMII ROOFINGs

JAMII ROOFINGs Umaira wa nyumba Yako, unakamilishwa na bidhaa Bora kutoka jamii roofings

Thamani,ubora na uimara wa nyumba Yako unakamilishwa na bati imara na Bora kutoka kiwandani kwetu. Tunauza mabati ya ran...
12/07/2024

Thamani,ubora na uimara wa nyumba Yako unakamilishwa na bati imara na Bora kutoka kiwandani kwetu.
Tunauza mabati ya rangi tofauti yenye ubora wa Rangi inayodumu kwa zaidi ya miaka kumi.
Bati zinapatikana kwa miundo ya migongo mipana,midogo, kigae na chengachenga.
Gage 30,28 na 26.
Tunapatikana Mwanza.
Jipatie OFA ya usafiri Bure.
Kwa mawasiliano tupigie 0755 221 071.

Address

Box 0
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAMII ROOFINGs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share