Trevo Tanzania Limited

Trevo Tanzania Limited Call us 255 713818 377 Mission
Our mission is to be more than just another successful company. Trévo is a company that is about empowering wellness.

It is our goal, our passion, to help you open your life to the world of opportunity and possibility that is before you. Our goal, as individuals and as a company, is to empower you to achieve your dreams as you live a healthy and prosperous life, and to help you make a difference in the lives of others through a lucrative business opportunity powered by a unique product and charitable initiatives.

While the word “prosperity” evokes a variety of different definitions depending upon to whom you are speaking, the Trévo team considers prosperity to be a wholeness word that embodies completeness. Such completeness includes a balanced life of spiritual, emotional, physical and financial prosperity. Company Overview
Trévo's founders are Mark and Holli Stevens, who have a proven track record of more than 16 years as owners of a successful network marketing company. Mark and Holli have also been on the “other side of the table” as independent representatives, building organizations with tens of thousands of members. This dynamic duo also possess nearly four decades of combined business ownership expertise. Trévo has developed a new compensation concept that marries a proven compensation plan with new, innovative compensation strategies. The result is unprecedented reward for all levels of participation, including customers, product evangelists, sales leaders and dream builders who actively help get and keep the field motivated. Trévo has raised the bar for nutritional supplements with the power of wellness through its proprietary blend of over 174 premium nutraceuticals, including maqui and acai berries, mangosteen, amalaki fruit, gotu kola, ashwagandha and a cornucopia of other fabulous nutraceuticals. In fact, Trévo has developed the only nutritional supplement in the world to combine and harness the power of such a remarkable array of vitamins, minerals, “supergreens,” antioxidant-packed fruits and vegetables, coral calcium, and herbs from around the globe. Our one-of-a-kind product is a new, complete wellness formula with 174 of the most powerful, antioxidant-packed vitamins, minerals, and exotic nutraceutical health secrets from around the globe. Just 2 ounces daily enables you to achieve increased energy, enhanced mental focus, and provide total nutrition for your body. It even optimizes your weight management efforts. Trévo restores your energy and mental focus; renews your body and its systems; and revives your anti-aging and immune function – without artificial stimulants, caffeine or sugar. It’s natural, whole nutrition at its best. http://www.trevocorporate.com

Unapenda design za kisasa za nyumba kwa Bei poa? Unatamani kujenga nyumba kwa urahisi japokuwa kipato chako kidogo? Umec...
17/03/2022

Unapenda design za kisasa za nyumba kwa Bei poa?

Unatamani kujenga nyumba kwa urahisi japokuwa kipato chako kidogo?

Umechoshwa na kulipa kodi kubwa kila mwezi pamoja na manyanyaso ya wenye nyumba?

Unataka kujenga nyumba za kibiashara kwa Bei inayolipa?

Unahitaji ushauri wa kitaalamu juu ya Ujenzi wako? Basi wasiliana nasi kupitia namba 0713818377 au 0767818377

Habari
04/02/2022

Habari

Call us 255 713818 377

23/07/2021

Tunajenga na kuboresha nyumba na makazi Yako
Karibu sana
0713818377

K**a kawaida,  tunaendelea kukupa matumaini ya gari la ndoto yako kwa bei nzuri. Ukitaka jipya kabisa unapata, ukitaka l...
22/08/2020

K**a kawaida, tunaendelea kukupa matumaini ya gari la ndoto yako kwa bei nzuri. Ukitaka jipya kabisa unapata, ukitaka lililotumika nje unapata, ukitaka lililotumika hapa Tanzania unapata. Karibu sana #0713818377 @ Mafinga

Karibu sana  kwa ajili ya huduma bora Za ujenzi. Huduma zetu zinatolewa kwa gharama nafuu sana. Wasiliana nasi kupitia  ...
21/08/2020

Karibu sana kwa ajili ya huduma bora Za ujenzi. Huduma zetu zinatolewa kwa gharama nafuu sana. Wasiliana nasi kupitia #0713818377 @ Mafinga

Miliki nyumba ya Ndiyo yako sasa. INAWEZEKANA kwako pia. Sisi Tupo kukusaidia. Wasiliana nasi kupitia  #0713818377 kwa u...
30/07/2020

Miliki nyumba ya Ndiyo yako sasa. INAWEZEKANA kwako pia. Sisi Tupo kukusaidia. Wasiliana nasi kupitia #0713818377 kwa ushauri wa kitaalamu na hata kwa ujenzi wa kisasa.

Tu nyumba tupo simple lakini tutamuu. Wewe unayesoma hapa na kuangalia hizi picha unaweza kabisa kumiliki k**a Hii. Ni k...
30/07/2020

Tu nyumba tupo simple lakini tutamuu. Wewe unayesoma hapa na kuangalia hizi picha unaweza kabisa kumiliki k**a Hii. Ni kujipanga tu. Karibu kwa ushauri na ujenzi. Tupigie kupitia #0713818377 kwa msaada zaidi.

Una ndoto ya kujenga nyumba Yako nzuri Tena kwa bei Poa, Basi wasiliana nasi kupitia 0713818377 kwa ushauri na kukujenge...
29/07/2020

Una ndoto ya kujenga nyumba Yako nzuri Tena kwa bei Poa, Basi wasiliana nasi kupitia 0713818377 kwa ushauri na kukujengea pia. Karibu Sana.

LifEngine Consultancy ni wataalamu wabobevu katika masuala ya ku design, kuchora, kujenga, kufanya finishing hadi unakab...
24/06/2020

LifEngine Consultancy ni wataalamu wabobevu katika masuala ya ku design, kuchora, kujenga, kufanya finishing hadi unakabidhiwa nyumba ya ndoto yako. Tupo Dar es salaam Ila tunafanya kazi Tanzania nzima tena kwa bei nzuri mno. Wasiliana nasi kupitia #0713818377

*GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO*Hapa tunachambua kuhusu gharama za ujenzi wa nyumba yako! _Je, gharama hizi zinatoka w...
01/06/2020

*GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA YAKO*

Hapa tunachambua kuhusu gharama za ujenzi wa nyumba yako!

_Je, gharama hizi zinatoka wapi? Kwanini zifike hapo?_

_Vipengele gani vya ujenzi vinaunda hizo gharama?_

_Mgawanyiko wa hizo gharama upoje kwa kila steji ya ujenzi? _

*Njia rahisi ya kufanya makadirio ya gharama ya ujenzi. *

Kumbuka hapa tunazungumzia kuhusu nyumba ya kuishi familia. Utaweza kupata mwanga utakaokusaidia kucheza na uchumi wa ujenzi na uweze kuokoa gharama na pia mada hii itakupa ujasiri wa kujitoa kulipa gharama stahiki za ujenzi wako!

Kwanza gharama za nyumba ni thamani ambayo unapaswa kuilipa ili uweze kuipata nyumba hiyo unayoitaka!

Sasa thamani unaweza ilipa kwa njia ya pesa, nguvu kazi yako, nguvu ya akili na pesa. Ina maana bila kulipa gharama stahiki huwezi pata thamani ya nyumba ile unayoitaka.

Gharama hizi unaweza walipa watu wengine wanaokufanyia kazi au wanaokuuzia bidhaa, lakini pia waweza zilipa wewe mwenyewe k**a muda na nguvu zako. Bila kulipa gharama stahiki huwezi pata nyumba hiyo.

*Kiujumla gharama za ujenzi wa nyumba haswa zinajumuisha gharama za VIFAA + UFUNDI*

Vifaa inajumuisha vitu k**a mchanga, saruji, vyuma, nondo, milango, madirisha mawe n.k.

Wastani wa gharama ya vifaa katika ujenzi wa nyumba ni ~70% ambapo ndio huchukua kiasi kikubwa cha gharama.

Kumbuka vifaa ambavyo inabidi vitumike ktk ujenzi vina kiwango stahiki cha kitaalamu hivyo ukisema utumie vifaa duni au feki au visivyotakiwa basi utapata nyumba ambayo haipo sawa na inaweza leta madhara na hasara zaidi.

Ni muhimu kujua viwango vya vifaa vya ujenzi ambavyo vinatakiwa ktk kujenga nyumba yako kutoka kwa wataalamu wa ujenzi haswa msanifu na mhandisi wako. Hii inajumuisha uwiano (ratio) sahihi.

Utumiaji wa vifaa kipindi cha ujenzi nao unatakiwa ufanyike vyema kwa kiwango ili kuhakikisha kile kinachotakiwa kitokee kinatokea.

Ufundi ni muhimu sana katika kufanikisha nyumba yako maana ndio injini ya ujenzi wako.

Ufundi huchukua wastani wa ~30% ya gharama nzima ya ujenzi wako.

Ufundi ndio unaovitumia vifaa na kuvifanya viwe nyumba.

Ufundi ni taratibu, ustadi na kipaji kitakacho kusaidia kupata nyumba yenye ladha na uimara unaotakiwa.

#0713818377

Address

38125
Dar Es Salaam
35091

Opening Hours

Monday 07:00 - 23:00
Tuesday 07:00 - 23:00
Wednesday 07:00 - 23:00
Thursday 07:00 - 23:00
Friday 07:00 - 23:00
Saturday 07:00 - 23:00
Sunday 14:00 - 09:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Trevo Tanzania Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Trevo Tanzania Limited:

Share