Hapa KAZI TU. Pamoja kwa umoja, kuijenga TZ.

Hapa KAZI TU. Pamoja kwa umoja, kuijenga TZ. Pamoja na kwa umoja kuijenga nchi yetu TZ. (Building Technicians Group.)

31/01/2021

Enyi wapendwa muipendao Tanzania Sana, wazalendo wa kweli.. msipendezwe na yeyote aitajaye Tanzania katika yaliyo mabaya kwani aisemaye Tanzania kwa baya au kwa jema anatunenea sisi sote,,, huyo ayanenaye mabaya juu yetu, atuduru sote, Basi na akainuke aliye mcha Mungu na atuombee na aombe juu ya watawala wetu ili Mwenyenzi Mungu afanyae yote kwa upole awarejeshe kwa neema yake kuu... Hili halihitaji misuli wala mali na fedha, bali Imani na kinywa kinenacho kwa hekima toka Mungu mwenyewe... Ee Mungu tuponye na tauni na kila la kufisha kupitia Jina lako Kuu ... AMEN...!

23/01/2021

Kila mahali wimbo ni Marekani mara Uingereza, utafikiri Mungu anakaa huko, ndizo nchi tu Mungu aliona ni za maana au....!? Hayo mataifa mengine ya dunia hayafai au....? Basi na leo tuangalie kati ya Mungu Muumba aliyefanya na kuumba Marekani na Uingereza ni yeye mwenye nguvu au ni wao..! Tuseme ndo maana kila mshtaki akijifanya hamna usalama na anakimbilia huko kumbe ipo miungu ya unafiki ya kimapepo inalisha washtaki na wabezaji vizuri siyo...?

21/11/2020

People's power no longer existing here in Tanzania but Argument's power...! Ndo maana wa-Tanzania waliojitambua wakiwepo wapinzani wengi safari hii waliachana na wababaishaji, wasaliti wa Taifa, wabezaji, watukanaji, na kuichagua CCM mpya, ni ushindi wa kishindo katika kuunga mkono jitihada zilizofanyika siyo kubeza na kupinga kila jema lililofanyika, Tanzania mpya Hoyeeeee....!

06/11/2020

Mwenyenzi Mungu naye kafanya yake, katuondolea wababaishaji wote waliokuwa wanatukwamisha kwa kubeza, kukejeli, kutukana mkuu wa nchi, kusaliti, na kututakia mabaya, safari hii Mungu kawanyi a nafasi kwa kutufungua macho wa-Tanzania na kuamua kufaya ya tofauti kuisafisha nchi, Ee Mungu tusaidie tufuate mfano huu daima,..! mungu wao amekuwa mlemavu, ila Mungu wa Israeli, kwa maana ya Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa ISRAELI ya Africa (Tanzania) yeye Ananena, anaona, anafanya, yeye aliye Mkamilifu, ameyatenda haya hapa TZ, Ee Bwana dumisha Taifa lako Tanzania...!

17/10/2020

Jamani Kuna wanaojifanya hawaoni kabisa jitihada zilizotangazwa na Serikali iliyo madarakani, wanapuuza na kubeza kila kitu bado, au wanataka tugawane kodi za wananchi tukalewee badala ya maendeleo ya pamoja nchi nzima, eti ndo maendeleo ya watu kulewa, jamani waombaji mpo wapi watu hawa wanazidi kuharibika akili mkiwaangalia..! Msiwacheke waombeeni tafadhali...!

22/06/2020

Napata mashaka makubwa k**a askofu kabisa badala ya kutafuta suluhu ya mambo yanayomtatiza kwa Mungu Bwana wa mjeshi anatafuta msaada kwa kushawishi maandamano, hivi k**a huyo Mungu wake ameshindwa kufanya chochote je wana-siasa anaoungana nao ndo wataweza kutatua..? Hivi k**a kwenye familia kubwa K**a hii inayoongozwa na
huyo askofu, imeshuhudia askofu akiangukia pua k**a mlevi je sisi wa-Kristo wa kawaida tutaenda wapi..? Na tangu awali alikuwa anatupeleka pepo ipi k**a yeye yamemshinda..? Ni sawa na unaona watu wanabishana wewe unawapa marungu wapigane..! Madhabahu imemwaga damu, na si kukomboa, huu ni ukorokoro na ukafri mchafu..! Askofu..... Mtumishi wa Mungu......!!!!!! Ushetani mtupu.

Address

Tabata

Telephone

+255757666044

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hapa KAZI TU. Pamoja kwa umoja, kuijenga TZ. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hapa KAZI TU. Pamoja kwa umoja, kuijenga TZ.:

Share