Abdulbabu house&bulding paint contractor

Abdulbabu house&bulding paint contractor KARIBU KWENYE HUDUMA ZETU
1-KUPIGA PLASTER
2- SKIMING
3-RANGI,
4-DECORATING ZA NDANI NA NJE
5-K MNAKARIBIISHWA WOTE

kwa Kaz Bora na ushauli ,na gharama nafuu tutembelee page yetu ,abdulbabu house&building paint contractor .

Welcome for our new skiming  for cheep to save your money, come to us we waiting  you.call us 0715253503
21/03/2024

Welcome for our new skiming for cheep to save your money, come to us we waiting you.
call us 0715253503

21/03/2024

By the way hello people sorry for keep disconect for along time

AM BACK AGAIN

21/03/2024

By the way

19/10/2022

Hi!,,

11/09/2021

asalam aleykum, epuka rangi ya Nyumba yako kuvimba, kupuputika, kubanduka, kuota ukungu , Kwa kutumia matilio maalum yalio changanywa saruji (cement) karibu sisi ndio suluhisho la matatizo haya na Kwa gharama nafuu tupigie au WhatsApp 0772483799 karibu sana

11/09/2021
Asalam aleykum , ipe Nyumba yako mwonekano mpya na wakisasa Zaid Kwa decorations.(mapambo) ya kisasa zaid na yanayo kwen...
31/08/2021

Asalam aleykum , ipe Nyumba yako mwonekano mpya na wakisasa Zaid Kwa decorations.(mapambo) ya kisasa zaid na yanayo kwenda na wakati karibu. kwa gharama nafuu, ondoa shaka! tupigie 0772483799 au WhatsApp 0772483799 Karibuni nyote

Asalam aleykum,            Mfumo huu ni wakisasa ambao ni mgeni katika jamii yetu natungependa kukufahamisha wewe mteja ...
22/08/2021

Asalam aleykum,
Mfumo huu ni wakisasa ambao ni mgeni katika jamii yetu natungependa kukufahamisha wewe mteja wetu
Ya kwamba tunafanya skiming kuta za nje na ndani za Nyumba yako kwa saruji (cement) ilio changanywa na matilio maalum ,.
ili kuipa kuzipa nguvu kuta za nje na ndani za Nyumba yako, dhidi ya rangi kubanduka , ,kupuputika , kushikaukungu kirahis . ,kuvimba, kuzuia fangasi ya ukuta inayo sababisha rangi kuvimba , pia kukupunguzia gharama za matilio na kuku ondoshea mteja wetu hasara za mara Kwa mara Kila baada ya muda mfupi kupita za kuifanyia matengenezo Nyumba yako .
Gharama zetu ni nafuu , karibu ujenge na uellimike nasi
Tupigie 0772483799 au WhatsApp
Karibuni sana.

Asalam aleykum,,"Kwa ufundi rangi Bora na wakisasa Zaid kulingana na mazingira ya jamii  yetu , nakuifanya Nyumba yako i...
21/08/2021

Asalam aleykum,,"Kwa ufundi rangi Bora na wakisasa Zaid kulingana na mazingira ya jamii yetu , nakuifanya Nyumba yako iweimara Zaid , Kwa muda mrefu , bila kuchakaa , kubanduka , kupuputika Kwa rangi ,au rangi , kuathiriwa na unyevu wa ardhini ,
Kwa gharama nafuu tupigie au WhatsApp 0772483799 ,Jenga na elimika nasi
Karibu sana

Address

Kijangwani Street
Zanzibar City

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255715253503

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abdulbabu house&bulding paint contractor posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Abdulbabu house&bulding paint contractor:

Share

Category