21/01/2022
UPELELEZI (PRIVATE INVESTIGATION) [email protected]
Tunahuduma za upelelezi mbalimbali k**a:-
1. Mpenzi asiye mwaminifu ( Cheating
Spouse)
2. Ukusanyaji wa taarifa za fursa za uwekezaji na kuzichangua.
3. Upelelezi wa mtenda jinai ( Criminal Inv.)
4. Upunguzaji wa hatari ( fraud risk management)
5. Ushushushu (Undercover investigation)
6. Upelelezi wanatesa na kurubuni watoto
( Child abuse & Molestation Inv.)
7. Kujua mdeni wako (Tracing debtors) n.k
Huduma zote ni kwa wateja binafsi, mashirika, ya kiseeikali na yasiyo ya kiserikali pamoja na makampuni.
KARIBUNI SANA